Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
- Thread starter
- #21
kwanini uende peku na mtu usiemuamini? kama wewe si wa kwanza ulitegemea asijue lolote kuhusu condom?
mi nlikuwa namuamini ila alivoniambia condom inamuumiza ndo nika doubt coz sijawah kutumia nae condom