Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wanajamvi....! Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa miaka miwili sasa. Nimeshiriki naye kimwili bila mpira mara zote ambazo nilikutana nae. Cha kushangaza sasa, juz wakati nataka nipige mambo yangu akasema anakaribia siku zake. Nikamwambia ntatumia mpira, akasema mpira huwa unamuumiza. Hapo ndipo kanipa mawazo kwa sababu sijawahi kuvaa mpira mara zote, je kajuaje kuwa mpira unamuumiza?, je niendelee kumuamini huyu binti? Nb: mpira = condom