Should I Say Yes....... Should I Say No....

Hahahahhaaa utulivu wa homie na homie wake ule wa kuhomie-ana ....... aahahahahahhaaa

Kasie Matata. (Silly one )
aseee haya homie[emoji1][emoji1]
Mm mtulivu sana tu ila nikiwa provoked hali inaweza isiwe ya utulivu [emoji38]
 
aseee haya homie[emoji1][emoji1]
Mm mtulivu sana tu ila nikiwa provoked hali inaweza isiwe ya utulivu [emoji38]

Uzuri wake wewe ni mnyamwezi mwenzangu, vikitibuka tunabadilisha lugha na kuanza kuongea kinyamwezi hapo lazima tuishie kula asali na karanga na matobolwa. Hehehehheeh

Homie.
 
[emoji23][emoji28][emoji23] wewe ni mjanja sana

Aahahahahahahahaaaa Kasie ni kasungura flani hivi eehehehehehehehehheheheeeee.

Ulishawahi kumsikia Kalulu the hare?

Kasie Matata.
 
Uzuri wake wewe ni mnyamwezi mwenzangu, vikitibuka tunabadilisha lugha na kuanza kuongea kinyamwezi hapo lazima tuishie kula asali na karanga na matobolwa. Hehehehheeh

Homie.
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]
 
ulivyoandika ukimpa mtaalamu wa utungaji wa nyimbo anaweza kutengeneza bonge la rekodi πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Aahahahahahahahaaaa Kasie ni kasungura flani hivi eehehehehehehehehheheheeeee.

Ulishawahi kumsikia Kalulu the hare?

Kasie Matata.
Kalulu the hare! Yes ni hadith kitabuni hahaha
 
Yaani naihurumia kwakweli, nnavo ibania bania. .... sitaki iishe haraka hehehehe ili muda wote iwe mpya mpya. Aahahahahahhaahahhaahhahahahaa

KCK

Hongera Mrs Lemutuz to be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…