residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,276
- 15,028
Hujajibu swali,unauliza swali!!??Usiwe unauliza maswali ya kitoto basi[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa akili zako Google walikupenda sana wakakuletea hii huduma uitumie bure!!!???
Jiongezage buana, wewe mkubwa ujue[emoji41][emoji41][emoji41]
Watu wenye maarifa kupenya katikati ya wajinga ni ngumu Sana unless uwe na kipaji cha kujieleza vizuri kwa lugha yao,hata hivyo watu wenye maarifa huwa hawako Sana kwenye siasa inatakiwa tuu wapatikane wanasiasa werevu Ili watumie ushauri wa watu werevu,sasa kupata hao wanasiasa ndio mziki.Halafu utakuta mtu kama wewe hata ukigombea uenyekiti wa serikali ya mtaa,hawakupi.
Wajinga ndio viongozi.
Werevu mmekaa kando.
Mungu akubariki kwa mawazo na ushauri bora ulioandika hapo juu.
Hujajibu swali,unauliza swali!!??
Shule ulienda kujifunza ujinga mama D !!??
We jamaa umefanya me nicheke sana ujuePale unapodhani ulipewa fuvu kwa ajili ya kushikilia meno.
Nyege za uzeeni mbaya sana. Horny cougar.Umeandika uongo jaji mfawidhi aliyekupa huo ujaji mwambie kampa tapeli
Unatumia Google for free wapi wewe? Bila kuweka pesa za kifurushi huwezi tumia google wewe.Wanakatana juuu kwa juu na mitandao ya simu wewe ukishalipia kifurushi
Hukupelekwa kujifunza kiingereza ukitumie kuongopa eti " we use google for free" nyooooooooooo!!! Unajua hata google wenyewe wanakuona akili huna wanashangaa wewe ndie msomi na kingereza chako koko
Usiwe unauliza maswali ya kitoto basi[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwa akili zako Google walikupenda sana wakakuletea hii huduma uitumie bure!!!???
Jiongezage buana, wewe mkubwa ujue[emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu inaonekana unapinga kwa misingi ya kubisha na sio facts>Unawalipa kupitia Internet providers ukinunua KIFURUSHI kama hujui
Nielekeze wewe mkuu unachokijua kama kipo.Unabishana na Teenager halafu unamsihi aepuke maswali ya kitoto? Huyu ni wa kumwelekeza ili kumsaidia.
Hujajibu swali.Usiwe unauliza maswali ya kitoto basi😃😃😃
Kwa akili zako Google walikupenda sana wakakuletea hii huduma uitumie bure!!!???
Jiongezage buana, wewe mkubwa ujue😎😎😎
Huyu mwigulu hata international policy hazijui.
Hanazani haya mambo ni mepesi kama matamshi yasina reasoning thinking yanatamkwa, tamkwa tuu.
Watu wame -invent Money, Time kufanya mambo makubwa kwa gharama kubwa, wewe hunahamka tuu. Ulipo toka kwamba unataka kuvuna usipopamba
Doesn't make sense kweli.
Hujajibu swali.
Je wewe ulishawahi kuwalipa google ili utumie huduma zao?
Let me make it clear pale unapolipa vocha unamlipa internet provider ili akupe access na internet na hakuna mtu anayemiliki internet ila hao unaonunua vocha zao ndio wanakupa access na data servers duniani kote.
na pili google haijaleta huduma zao huku au kwako bali ziko wazi kwa mtu yoyote kutumia means wewe ndio umejipeleka kwao na hapo wamekupenda kupitiliza kwa kukuacha uaccess bila malipo au wakitaka wanapiga ban isitumike afrika mashariki au afrika nzima sababu hawaingizi faida yoyote ya maana kutoka huku, bali sisi ndio tunapata faida kubwa kutoka kwao.
kama unadhani wanategemea wewe uguse ads zao ndio wapate faida basi china, india, russia, europe na americas wao hawagusi tu ads bali wananunua kabisa na bidhaa iliyotangazwa je wewe ulishawahi kununua bidhaa hata moja iliyowahi kutangazwa na google kwenye simu yako?
je wewe unatumia youtube premium? bila shaka hapana.
mpaka hapo google haihitaji kabisa uwepo wa afrika.
Youtube ambayo inamilikiwa na google inawalipa youtubers wa tanzania kila mwezi bila wao kulipia chochote bali kwa juhudi zao wenyewe tu na hapo unasemaje?
nakuongezea swali jingine: Unadhani google inafaidika vipi na wewe pale unapotumia huduma zao kama Gmail, playstore, youtube, google photos nk?
unadhani wao wanapata faida gani kutoka kwako?
sasa hata tukisema tumuombee tutakamatwa, maana mikutano ya ndani ni marufuku, ya nje ni marufuku, kanisani tukienda paroko anasingiziwa kapiga simu kuomba msaada wapolisi, tufanyeje sasa.Hii kitu ndio maana jamaa alisema "wanafikiria", kwamba ana wazo lake la ajabu kichwani sasa anataka kulipeleka kwenye utekelezaji bila kujua atumie njia ipi, akitekeleza hilo, tutaongoza kuwa taifa la kuzalisha wajinga wengi duniani.
duh, Wanaangalia porno wapo na wao wao akina Mchora mawe wanaangalia mambo ya maana hasa kujiandaa kwao kwa uchaguzi 2025Google inafaidika na watumiaji wake lakini sio watanzania ambao wanatumia google kuangalia porno na kuangalia channels za kijinga youtube kwa wachache wanaotumia kufanya mambo ya maana kama kusoma basi wao ndio wanafaidika na uwepo wa google.
Google inapata faida kutoka india, china na asia yote kwa ujumla, europe, australia na americas ila afrika nimeiondoa kabisa sababu kwa asilimia kubwa ndio inafaidika na uwepo wa google kuliko google kufaidika na uwepo wa afrika.
Je wewe ulishawahi kununua bidhaa hata moja iliyowahi kutangazwa na google kwenye simu yako?
Nilitoa mfano mrahisi sana naomba muulize mwenye Jamiiforums anapata kiasi gani kutoka kwenye mitandao maana na yeye tunaaccess huduma yakeHapa cjaona mtu akijibu hoja wala kueleza Ni kwanmna gan hao Google wanapata faid badala yake mmebaki kumshambulia madelu tu
Je Google .Yahoo wanapataje faida hawezemagi utasikia tu kuwa mmiliki wa Google Yuko marekani cjui na Ni bilionea balah sas anapataje faida kutoka kwa watumiaji kwa maana mm nafahamu ya. Kuwa nalipa pesa ndipo niweze kuaccess huduma zao ..watu wamakmpuni ya simu waje watuambie kuwa Ni kias gani wanatuma kwa hao jamaa kila mwezi au weekly Kam tozo ya kuaccess mtandao ambapo wawo Kam makampuni ndio wamesima Kam madaraja kutufusha sis na kutunganisha na hao wazungu wa kimarekani
Naona umekuja kwa ung'eng'e, ngoja na mimi nijaribu na kingereza changu cha fomu foo. Actually all the world is using google in the same terms as TZ. Europe, USA, and all developed nations tax google. Google makes money in different ways. It makes money through ads, which is a very lucrative business. In TZ companies pay google through advertisements and this their business. This is why many times there interferences of ads when using google. I just wanted you to know, there is no free lunch anywhere. Google does not offer free lunch to TZ. We pay for it.It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies.
WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from its operation.
Tanzania there s a gang, led by few, thinking this country is for themselves, saying whites, especially americans and UK people are "mabeberu" -apartheid very bad word and color and racial discrimination.
Google users in Tanzania over 23 millions, should Google company charge us to open account, to register mail, etc? Should we now let Google Charge us?
Your country contributes ~0% of Google’s annual revenues by its use of Google’s services. Literally, Google doesn’t even know you exist on its economic map.
In discussing its markets, do you even think the name of your country ever pop’s up on Google’s table? It’s easier to imagine them pay special attention to “the UK market” or “the Chinese market”, etc. But not “the Tanzanian Market”, mon ami. Only perhaps on “the African market”. So stop pretending you’re something significant.
It’s really ridiculous, therefore, to hear someone in our government dreaming of taxing Google when, arguably, we benefit more from Google than Google does from us. This is well-nigh idiocy.
Besides, the international tax law has made it difficult for even big nations to tax companies like Google. The UK is the case in point.
The law is designed such that startups pay most of the tax to the country of their origin that to the countries where they make their sales. So, if a startup is based in country X, but makes most of the sales in country Y, the startup will pay most of the tax to country X. So you can imagine how your claim of share in the Google tax bracket fades into oblivion.
=======
Waziri mchora mawe anatoka Singida, anajihisi nchi ni yake na anajiita Fidel Castro, anahisi ndiye rais wa 2025 na yeye na genge lake amejipanga na huenda, narudia huenda anamhujumu aliyepo kwa mabmbo afanyayo, huenda!
Wwaka 2015 alichora mawe yote nch nzima jina lake, simtaji, mnamjua.
let me have my supper, i refute your dilly dallying snag and misinformation to lay Tanganyikans, we pay nothing than receiving free lunch from google.Naona umekuja kwa ung'eng'e, ngoja na mimi nijaribu na kingereza changu cha fomu foo. Actually all the world is using google in the same terms as TZ. Europe, USA, and all developed nations tax google. Google makes money in different ways. It makes money through ads, which is a very lucrative business. In TZ companies pay google through advertisements and this their business. This is why many times there interferences of ads when using google. I just wanted you to know, there is no free lunch anywhere. Google does not offer free lunch to TZ. We pay for it.
Mimi situmii hasira bali natumia facts, huu ni muandiko tu ndio unafanya uone hivyo.Majibu unayo lakini bado hujui kama ni majibu unaishia kujivuruga tuu.
Kabla hujaleta maswali yasiyo na singi tuambie kwamba gugo ni wafanyabiashara au ni watoa huduma ya msaada kwako??
Unapotaka kutatua tatizo usifanye ugomvi wala usitangulize hisia binafsi. Nenda kwenye point na ujenge msingi wa hoja yenye maslahi kwako na wengine