Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.
Nani kamhukumu zitto? Wakati kajihukumu mwenyewe!
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
Ameomba msamaha hadi umuombee kusamehewa? Nani anamchafua? Kauli zake na viashiria vya vitendo vyake mwenyewe ndivyo vinavyomchafua. Kumbuka Sitta alivyojidai kumsifia Dr Slaa (kwa kauli yake kuwa "CHADEMA kuna kiongozi mmoja tu Slaa") mbona Dr Slaa alikanusha? Ingekuwa ni Zitto kahusishwa na kauli ya aina hiyo unatarajia angefanya alichofanya Dr Slaa?? Sijawahi kumsikia Zitto akikanusha madai ya yeye kuonewa ndani ya Chama, sijawahi kumsikia Zitto akikemea watu wanaomsifia yeye kwa kuchafua viongozi wenzake wa Chama, sijawahi kusikia Zitto akipinga kuungwa mkono na ccm has jina lake linapotumika kuwaponda viongozi wenzake wa Chama.
What do you say about all those???
Upuuzi mtupu!
Hivi CHAUMA ni cha kina nani?
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea[/COROR] na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.
Nimeaga kwetu, na atakayethubu kunidhuru nyumbani kwao hata panya hatobaki. huyu aanzishe chama cha Washirikina kitamfaa zaidi.
jaribisha kushirikisha ubongo wako kabla ya kuchangia mada.
Usiwe kama adult person ambaye ana miaka chini ya 18.
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!
Nimekaa na kutafakari kuhusiana na haya yanayo mwandama muheshimiwa Zitto. Ukweli tuludi nyuma miaka ya 2005 hadi hapa tulipo, tunaona kuna nyakati tofauti Zitto amezipitia. Ndugu zanguni Je? Zitto wa 2005 na huyu wa leo ana tofauti ipi? Na je tofauti kama ipo, chanzo chake ni kipi? Tuangalieni waliyopitia Mabele Marando, Augustino Mrema na wengineo hayana tofauti na haya anayopitia Zitto ivi sasa. Jamani ndugu zangu tusiwe wepesi wa ku hukumu na kusahau fadhila, na kama kuna sehemu amekosea basi yatupasa kumsamehe na kumueleza alipo kosea na si ku mchafua kama baadhi ya mapandikizi watumikavyo kumchafua Zitto.
Fikra zako bado changa sana.Zitto hajakosea, bali ana weaknesses kama binadamu. Tatizo ni kuwa watu wanatumia weakness zake kumdhoofia, ili kuihujumu CDM...
Bern ni tatizo kaka! Na ukweli tutaujua tu.Ila nashangaa wanaomshutumu mtu mmoja wakati ni mgogoro ambao Padri ameusimamia alafu anakaa kimya ili aonekane msafi. Nasema tena ukweli utajulikana tu.Wewe ndio unaona upuuzi. Ben ni Pandikizi na itaji jidhihilisha siku si nyingi.
Kihistoria au kijeshi, msaliti anapaswa kunyongwa hadharani na zamani msaliti akigundulika kabla ya kukamatwa huwa anajinyonga mwenyewe!!Kumsamehe Msaliti? Unajua wasaliti ufanyiwa nini? Kama unasaliti chama utafanyia nini nchi?
Kihistoria au kijeshi, msaliti anapaswa kunyongwa hadharani na zamani msaliti akigundulika kabla ya kukamatwa huwa anajinyonga mwenyewe!!
Tatizo sio Zitto, tatizo ni wachagga na watu wa kaskazini wanataka kuwa na hatimiliki kwenye chama. Ila kura, wanataka za makabila mengine!