Achaneni na huyu! Maana sijui Dr. Slaa utawajibu nini raia wakianza kuzomea na ku-shout "tunamtaka huyo mnafiki aongeeeee... . . ." Wala cdm wasing'ang'anie sana kwenda na zito kwenye M4C, Maana wananchi kama wa mwanza, Mbea, A.Town, na universities hawatochelewa kumzomea hadi kujutia kua mwanasiasa!
Kweli ni "a noose" around CDM's neck.Hiyo tume haina mkono wa ccm?kwahiyo unadhani itafanya kazi ya aina gani?tume hiyo ni huru?una imani nayo?
Kama kuna viongozi wa juu wa chama kutofautiana siyo mbaya kabisa kwenye demokrasia ya kweli.Lakini tofauti hizo zisiwe kwenye fundamental issues.
Hivi ameshawahi kusema ni kwanini hashiriki kwenye m4c?Halafu ina maana yeye na serikali ya ccm inayodhibiti harakati hizo hata kwa mauwaji,they see "eye to eye"?
Nilishajiuliza hilo mimi mwenyewe,inakuwaje tuhuma za rushwa awasingizie viongozi wenzake kuwa ni siasa za urais na wakati zilitolewa na waziri wa serikali ya ccm?Mimi naamini katika "equal treatment to all members" regardless of their status! Kama ikionekana beyond resoanable doubt kwamba ZZK amehusika taratibu zifuate mkondo wake! But kuna kitu nachelea kukiamini ambacho kimejitokeza katika mawazo yangu. Nimeona kuna sehemu ZZK anasema ni siasa za urais, could it be alitangaza nia ya kugombea urais kama mtego? ili kama akichukuliwa hatua tuamini kwamba ni mchezo mchafu...Its a puzzle to me!
Mkuu kweli uliona mbali,CDM wasuke ama wanyoe,ni wakati wa kuchukua maamuzi magumu kabla ya 2014/15.Pili,kuna tena mahusiano yake na mmojawapo wa wale waliotuhumiwa kumteka na kumtesa Dr Ulimboka,hayo si mambo mazuri ya kuhusishwa na kiongozi aliyeko kwenye chama kinachotarajiwa kuleta ukombozi Tanzania.
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,
Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?
Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.
Mimi naitwa theROOM, mwananchi wa kawaida nisie mfuasi wa chama chochote..........hivi CHADEMA mna tatizo gani na Zito ?????:confused2:
Hili swali labda ungeligeuza upande wa pili.Yani maybe yeye ana matatizo gani na chadema?
Anyways,hata mimi pia sipendi washirikina,ama hukuangalia ripoti ya cnn?
Mimi naitwa theROOM, mwananchi wa kawaida nisie mfuasi wa chama chochote.
ZZK haaminiki na hatokuja kuaminikana hatakiwi kuaminika...its simple.
Look at his moves, his health,his words..its full of contradictions...ukimwangalia ZZK ana stress kama alivo EL. hii ni kwa sababu he has too many agendas..mara urais mara lecturer mara ninii...yaani this guy is overloaded and very selfish..
BUT,He knows what he is doing n he knows it well deep down his heart. And he knows it is EVIL..he knows it well..ZZK has no peace,he is extremely careful to every move he makes...
Lkn kuna kitu kimoja viongozi wengi wa nchi hii hawajajua..Watz wengi ni waelewa sana.Sio wale wa miaka ile....wanao uwezo wa kukupima na kukukataa upright....
ZZK HAPASWI KUAMINIWA TENA...
Hili swali labda ungeligeuza upande wa pili.Yani maybe yeye ana matatizo gani na chadema?
Anyways,hata mimi pia sipendi washirikina,ama hukuangalia ripoti ya cnn?