Shombo la nini?! We kwani kutongozwa ni dhambi?! Anyway hata ukifanya hivyo utamsaidia kufahamu wewe ni mwanamke wa aina gani.Siwezi muacha shost kisa hichi kidume kwanza kuanzia sasahivi ajipange kwa shombo
Asante kwa kuelewa mkuu wangu wa kazi.Nimependa ushauri wako
......with their Drama![emoji6]Women.........!!!
Awaoe wote wawili mkikubaliana maana anawataka wote sema hawezi kukwambia. Kwa huyo mwingine anaona noma tu kumkubalia kwa sababu anaona utamwonaje. So either awe na nyie wote au awaache wote maana mtagombana urafiki wenu. Mengine yapo lakini......Nawasalimu wote hamjambo?
Hii dunia huwa ina mambo kwakweli nimeona itapendeza kushare na nyie magreat thinker hili jambo maana jf haijawahi kumtupa mtu.
Iko hivi nina rafiki yangu ninaemuheshimu sana tena sana tunasaidiana kwa mengi mno ya muhimu anaweza kuwa hata anazidi ndugu kwa jinsi tulivyo na wote sisi ni masingle maza yeye ni divorced ni mrembo sana na mimi pia ni mrembo kiasi. Niende kwenye point, Shost yangu huwa ana ukaribu sana na kijana mmoja na huwa wanashare mambo mengi ya kimawazo na kimaisha kwa ujumla na huwa anamchukulia kama mtu wa familia yake kama ndugu kabisa na mimi huwa na muheshimu huyo kijana kama kaka tuu sio zaidi, huyu kaka huwa tunaelewana sana story za hapa na pale tunacheka basi na most of the time huwa anapenda kuja home kwangu au tunaweza kaa mahali kwa kinywaji tunatia story kila mmoja kwao hiyo tumezoeana sanasana hadi wakati mwingine Shost wangu anahisi labda tunamahusiano na huwa ananiuliza namimi huwa namwambia aache utani maana kitu kama hicho akiwezi kutokea kamwe kwa mimi, chakunishangaza sikumoja tukiwa kwenye maongezi huyo kaka akaniambia kuwa shost wangu anamtaka kimapenzi tena kwa muhemko wa hali ya juu kwamba anataka amuoe duu ila kwake imekua kama surprise kubwa hakutegemea na wala hana feelings nae ila kumwambia direct anashindwa sasa rafiki yangu anabakia kuumia maana hamuelewi kaka kiumri ni mdogo kidogo kwa shost yangu na shost yangu ana mkwanja mrefu sana kwahiyo anamuahidi huyu kaka vitu vingi ila kaka hatikisiki wala havutiwi sanasana huyu kaka hataki kumuonyesha huyu dada dalili yoyote ya kimahaba ili asije kumuumiza maana hamuhitaji kimapenzi zaidi ya maswala ya kawaida kindugu basi,
Mtihani uko hapa sasa ndio pamenifanya nitiririke kwenu eti huyu kaka anadai anahisia na mimi kupitiliza kwamba ananipenda sana hata kama kwasasahivi siko tayari nijue tuu naniliweke moyoni ujue sikutegemea alichokua anakitamka nimebaki nimepigwa na butwaa huku namtafakari rafiki wamimi huku namtafakari yeye hapo ikumbukwe tuu rafiki yangu hajawahi kunitonya chochote kuwa anatengeneza maishano huyu kaka zaidi kuwa ananiambia kwanini nisiwe na maishano na huyo mbona tunaendana tuu mimi anamjibu siwezi na hautakaa itokee kumbe ananikejeli yeye ndio kafa kaoza kwahuyo mkaka jamani hii dunia inamambo huku mkaka ananibembeleza nimwelewe maana hajiwezi mhh wanaume nyienyie siwawezi
Naombeni ushauri wenye mashiko jamani especially nyie wanaume ndio mnaelewana zaidi na drama zenu maana huyu kaka alivyonikomalia hadi naona naanza kumpenda maana hizo hoja alizozibeba kwenye maneno yake kweli kuingia mkenge sio kitu cha ajabu maana sasahivi ameshaanza kuniingiaingia moyoni na jinsi tulivyo jamii haiamini kuwa sitoki nae maana hapungui nilipo na akiwa na mimi anajaa furaha na bashasha kupita maelezo ushauri plz ushauri wa kiume itapendeza zaidi.
Kama tulikua woteHujui Mwanaume wewe anataka kula kote ndo hivyo wee mtunuku tu maana inaonekana ameshahudumia sana
Siumesema ashakuingia moyoni au!?Simtaki huyo mwanaume atanikinai mwenyewe kwa shombo
Hapo ndipo nnapowashangaa wadada. Kaka ni yule unayezaliwa naye. Huyo anaruhusiwa kukuoa. Kama humpendi unamwambia tu lakini sio kusema ni kaka.Sijawahi kuwaza kwamba atanitongoza nilimpa nafasi ya ukaka na hadi sasa Niko kwenye butwaa ndio maana nikaleta huku
.,unamkaanga mwanaume mwenzio kwa kumuuzia ramani ya vita adui!Ila wanawake bwana hampendani, sasa wewe badala ya kwanza kumfuata huyo unaye jifanya kuwa shosti wako ili umuulize kama haya uliyo ambiwa na huyo jamaa Ni kweli wewe umekimbilia JF. Kifupi ulikuwa upo tayari kumpa Jamaa mzigo na urafiki wenu na shosti wako ufe kisa mwanaume.
Kumpa maneno ya shombo Au kumkataa Jamaa sio siluhisho sababu Jamaa pengine atakuwa anaendelea kumla shosti wako, kitu ambacho unatakiwa umwambie ajue kuwa Jamaa sio mtu mzuri
Fanya hivi, mrekodi mshkj akiwa ana kubembeleza halafu nenda kwa shost wako mwambie kuwa Jamaa kasema unamtaka wakati huo anakutongoza wewe, Jamaa akija kuruka maana najua shosti wako atamfuata tu kumuuliza then wewe utaonyesha ushahidi wa ulicho mrekodi. Hapo utakuwa umemsaidia shosti wako pia na kumkomesha jamaaa
Namuomba mmoja wenu basiNawasalimu wote hamjambo?
Hii dunia huwa ina mambo kwakweli nimeona itapendeza kushare na nyie magreat thinker hili jambo maana jf haijawahi kumtupa mtu.
Iko hivi nina rafiki yangu ninaemuheshimu sana tena sana tunasaidiana kwa mengi mno ya muhimu anaweza kuwa hata anazidi ndugu kwa jinsi tulivyo na wote sisi ni masingle maza yeye ni divorced ni mrembo sana na mimi pia ni mrembo kiasi.
Niende kwenye point, Shost yangu huwa ana ukaribu sana na kijana mmoja na huwa wanashare mambo mengi ya kimawazo na kimaisha kwa ujumla na huwa anamchukulia kama mtu wa familia yake kama ndugu kabisa na mimi huwa na muheshimu huyo kijana kama kaka tuu sio zaidi.
Huyu kaka huwa tunaelewana sana story za hapa na pale tunacheka basi na most of the time huwa anapenda kuja home kwangu au tunaweza kaa mahali kwa kinywaji tunatia story kila mmoja kwao hiyo tumezoeana sanasana hadi wakati mwingine Shost wangu anahisi labda tunamahusiano na huwa ananiuliza namimi huwa namwambia aache utani maana kitu kama hicho akiwezi kutokea kamwe.
Kwa mimi, chakunishangaza sikumoja tukiwa kwenye maongezi huyo kaka akaniambia kuwa shost wangu anamtaka kimapenzi tena kwa muhemko wa hali ya juu kwamba anataka amuoe duu ila kwake imekua kama surprise kubwa hakutegemea na wala hana feelings nae ila kumwambia direct anashindwa sasa rafiki yangu anabakia kuumia maana hamuelewi kaka kiumri ni mdogo kidogo.
Kwa shost yangu na shost yangu ana mkwanja mrefu sana kwahiyo anamuahidi huyu kaka vitu vingi ila kaka hatikisiki wala havutiwi sanasana huyu kaka hataki kumuonyesha huyu dada dalili yoyote ya kimahaba ili asije kumuumiza maana hamuhitaji kimapenzi zaidi ya maswala ya kawaida kindugu basi,
Mtihani uko hapa sasa ndio pamenifanya nitiririke kwenu eti huyu kaka anadai anahisia na mimi kupitiliza kwamba ananipenda sana hata kama kwasasahivi siko tayari nijue tuu naniliweke moyoni ujue sikutegemea alichokua anakitamka nimebaki nimepigwa na butwaa huku namtafakari rafiki wamimi huku namtafakari yeye hapo ikumbukwe tuu rafiki yangu hajawahi kunitonya chochote.
Kuwa anatengeneza maishano huyu kaka zaidi kuwa ananiambia kwanini nisiwe na maishano na huyo mbona tunaendana tuu mimi anamjibu siwezi na hautakaa itokee kumbe ananikejeli yeye ndio kafa kaoza kwahuyo mkaka jamani hii dunia inamambo huku mkaka ananibembeleza nimwelewe maana hajiwezi mhh wanaume nyienyie siwawezi.
Naombeni ushauri wenye mashiko jamani especially nyie wanaume ndio mnaelewana zaidi na drama zenu maana huyu kaka alivyonikomalia hadi naona naanza kumpenda maana hizo hoja alizozibeba kwenye maneno yake kweli kuingia mkenge sio kitu cha ajabu maana sasahivi ameshaanza kuniingiaingia moyoni na jinsi tulivyo jamii haiamini kuwa sitoki nae maana hapungui nilipo na akiwa na mimi anajaa furaha na bashasha kupita maelezo ushauri plz ushauri wa kiume itapendeza zaidi.
Hahahaha.... thank you.......with their Drama![emoji6]