Short women vs tall women

Short women vs tall women

Kumekuwa na debate mbalimbali kuwa kati ya wadada warefu na wafupi ni wapi ambao wakaka wanapenda kuwa nao kama wake,wapenzi n.k kulingana na A STUDY BY GILLS AND AVIS in 1980 ripoti inaonyesha kuwa katika ndoa 100 2 tu zimepata kuwa na mwanaume mfupi mwanamke mrefu.

Pia majibu yaliyopatikana kwenye yahoo answers wanaume walitoa maoni yao kama ifuatavyo:
52%walisema wanapenda wanawake wafupi,
31%walisema kimo hakina nafasi katika mapenzi na
17%walisema wanapenda wanawake warefu.

Wanawake pia waliulizwa maoni yao nao pia ilikuwa ifuatavyo:
24walisema wanaume wanapenda wanawake wafupi,
36%walisema kimo hakina nafasi katika mapenzi na
40%walisema wanaume wanapenda wanawake warefu.

Kutokana na malumbano hayo nikaona nililete swala hili jf ili tujue maoni yenu pia wana Jf karibuni tujimwayemwaye kwenye hili jukwaa huru.
Chini kuna picha za wadada warefu na wafupi;

N:B Tafadhali yeyote asijisikie vibaya kupitia topic hii,kwani hailengi kumshushia yeyote heshima au kufanya kundi fulani la watu lionekane halina maana,sote tunajua binadamu wote ni sawa.Lengo ni kubadilishana mawazo tu katika mambo halisi yaliyopo katika hii jamii yetu.

View attachment 80672 View attachment 80673

View attachment 80676 View attachment 80678

View attachment 80679 View attachment 80680

View attachment 80681 View attachment 80674

View attachment 80682 View attachment 80683

View attachment 80684 View attachment 80685

View attachment 80686 View attachment 80687

View attachment 80688

View attachment 80691

View attachment 80689

View attachment 80690
mimi ni mrefu 6 feet na kadhaa,but ndhan i am attracted na wadada wafupi,na kwa sasa wifi/shemeji yenu ni short,akiwa hajavaa highheel hafiki begani,i wish ningeweka picha hapa,basi tu all in all haya mambo yanatokeaje,sometimes ni natural course hapa unaweza kupanga kuwa na mdada mreefu kuja kushituka uko na mtu wa kimo cha chini,all in all nadhan ni vyema mwanaume akawa mrefu zaid ya mdada,labda kama mkaka ni mfupi sana anataka kutengeneza mbegu ndefu akichukua kitu kirefu ni uamuzi wa busara sana.....
 
Uko very right mkuu....

Tena tunavyozidi kuwa wafupi ndio kila kitu kinavurugika

TIMING Duh lakini we jinsi gani maana sio rahisi kuukubali ukweli na udhaifu kwa haaka namna hii ila wewe u wa tofauti hakika na kwautofauti huu itakuwasaidia katika mengi
 
Last edited by a moderator:
Uko very right mkuu....

Tena tunavyozidi kuwa wafupi ndio kila kitu kinavurugika

Kama nilivyotangulia kusema hii topic haijakusudiwa kumshushia mtu heshima,so mkuu angalia sana maneno unayotumia yasiumize wengine,hilo neno vijibushuti sidhani kama ni neno zuri kulitumia.Heshima iwe mbele mkuu asante.

soli (sorry)ya kiatu lakini huyu jamaa hapa hajaona kama nimemkwaza hivyo naomba msamaha kama kwa nieno kijubushuti nimemkwaza yeyote. asanteni kwa kunielewa
 
Bana acha kujiona hufai kila kilamtu ana thamani na sehemu yake awe mfupi au mrefu.

Sijasema sifai...nafaa kwa matumizi mbalimbali, what i dont understand ni kwanini watu "warefu" are looking down on us (no pun intended) lol
 
Wanawake warefu wana mashimo hayooo!!!
 
Nakuunga mono mkuu kimo hakidetermine uwezo wa mtu katika kazi,maamuzi wala kutengeneza pesa ni personality aliyozaliwa nayo mtu ndo inamuongoza kufanya vizuri katika sekta zote hizo.

Ahaaahaaaah !!! Ulikuwa unapima upepo eeeh ?! Demu demu tu ,awe short au tall ,inategemea kakugusaje mtimani bhana. Wengine tunaangaliaga:
1)sura ie macho,lips,dimples,tabasamu.
2) utundu beddini. Sio demu kitandani gogo gogo khaaaa.
3)Ucheshi na tabia njema.
4)kujituma na mawazo yalioenda shule. Sio kademu kavivu hata katika kufikiri,bhaaaaaa
5)mapishi bora.
6)kukusoma,uko katika hali gani na akuhandle vipi.
.... Hapo hata akiwa mlemavu wa viungo, beba beba tu.
 
STAND-TALL-THE-FACTS_05.jpg

Duuu.now its all about money..kweli pesa ni sabuni ya moyo
 
mimi ni mrefu 6 feet na kadhaa,but ndhan i am attracted na wadada wafupi,na kwa sasa wifi/shemeji yenu ni short,akiwa hajavaa highheel hafiki begani,i wish ningeweka picha hapa,basi tu all in all haya mambo yanatokeaje,sometimes ni natural course hapa unaweza kupanga kuwa na mdada mreefu kuja kushituka uko na mtu wa kimo cha chini,all in all nadhan ni vyema mwanaume akawa mrefu zaid ya mdada,labda kama mkaka ni mfupi sana anataka kutengeneza mbegu ndefu akichukua kitu kirefu ni uamuzi wa busara sana.....
Aiseeee i gues huyo mdada wako ana raha sana.Hongera mwayego.Hebu tuambie unahisije uapomwita huyo darling wako baby afu kumwangalia mpaka ummwinamie?si raha eeeeehhhhh?
 
Ahaaahaaaah !!! Ulikuwa unapima upepo eeeh ?! Demu demu tu ,awe short au tall ,inategemea kakugusaje mtimani bhana. Wengine tunaangaliaga:
1)sura ie macho,lips,dimples,tabasamu.
2) utundu beddini. Sio demu kitandani gogo gogo khaaaa.
3)Ucheshi na tabia njema.
4)kujituma na mawazo yalioenda shule. Sio kademu kavivu hata katika kufikiri,bhaaaaaa
5)mapishi bora.
6)kukusoma,uko katika hali gani na akuhandle vipi.
.... Hapo hata akiwa mlemavu wa viungo, beba beba tu.
Hints za ukweeeee,kwa hiyo mdada akiwa na hivyo basi we DAWA YA SIKIO hoiiiiiii husikiii wala huongei?Haya bana nakutakia kila la kheri umpate mdada wa hivyo,kama unaye tayari hongera.
 
Last edited by a moderator:
soli (sorry)ya kiatu lakini huyu jamaa hapa hajaona kama nimemkwaza hivyo naomba msamaha kama kwa nieno kijubushuti nimemkwaza yeyote. asanteni kwa kunielewa
Hongera kwa kuwa na busara,na kwa hilo nina imani yeyote ambaye kwa namna moja ama nyingine alikuwa amekwazika atakuwa ameelewa.
 
Sijasema sifai...nafaa kwa matumizi mbalimbali, what i dont understand ni kwanini watu "warefu" are looking down on us (no pun intended) lol
Actually that' confusing:confused2:,sijui ni kwa nini wanafanya hivyo?
 
Hongera kwa kuwa na busara,na kwa hilo nina imani yeyote ambaye kwa namna moja ama nyingine alikuwa amekwazika atakuwa ameelewa.

Thanks! unajua haya maneno tumekuwa wakati mwingine tukiyatumia huku mtaan bila kuona shida sasa wakti mwingine tunajisahgau hata kwenye mitandao ya kijamii tunayaweka bila kujua kuwa kwanamna moja au nyingine tunaweza kuwakwaza wengine. nashukuru kwa kunielewa na ninaomba wote mmnielewe. Asante tena
 
Tupo pamoja mkuu.
 
Aiseeee i gues huyo mdada wako ana raha sana.Hongera mwayego.Hebu tuambie unahisije uapomwita huyo darling wako baby afu kumwangalia mpaka ummwinamie?si raha eeeeehhhhh?
sure,nisingependa kumsemea lakini nahisi itakuwa hivyo tu..........................
 
Back
Top Bottom