Short women vs tall women

Short women vs tall women

lor_s__noldorin_height_comparison_chart_by_houkakyou-d5jvxra.jpg

Jamani jamani.......yani hicho kifupi ndio mimi.....? Hebu ngoja nipime tena.....
 
tatizo ni kwamba vijibushuti huwa havijiamini na hii ni kwa jinsi zote tena ukiongea kwamfano na mwanaume mfupi na ukawa unamwelekeza kitu cha kufanya hata kama ni sahihi yeye anaona kama unamdharau kwavile yeye ni mfupi(chanzo mimi mwenyewe)
ni wepesi wa hasira si wingi wa rehema na salama yao mara nyingi ni kuwa na wapenzi waliowazidi kimo na maumbo ili kufidia upungufu waojihisi wanao (hii ni kisaikolojia kwani huwa wanafanya hivyo wakiwa hawajijui na wanafikiri wako driven na mapenzi zaidi)
Kama nilivyotangulia kusema hii topic haijakusudiwa kumshushia mtu heshima,so mkuu angalia sana maneno unayotumia yasiumize wengine,hilo neno vijibushuti sidhani kama ni neno zuri kulitumia.Heshima iwe mbele mkuu asante.
 
tatizo ni kwamba vijibushuti huwa havijiamini na hii ni kwa jinsi zote tena ukiongea kwamfano na mwanaume mfupi na ukawa unamwelekeza kitu cha kufanya hata kama ni sahihi yeye anaona kama unamdharau kwavile yeye ni mfupi(chanzo mimi mwenyewe)
ni wepesi wa hasira si wingi wa rehema na salama yao mara nyingi ni kuwa na wapenzi waliowazidi kimo na maumbo ili kufidia upungufu waojihisi wanao (hii ni kisaikolojia kwani huwa wanafanya hivyo wakiwa hawajijui na wanafikiri wako driven na mapenzi zaidi)
Uko very right mkuu....

Tena tunavyozidi kuwa wafupi ndio kila kitu kinavurugika
 
Kila Mwamba ngoma huvutia kwake. Preta we mrefu boss wangu!
 
Last edited by a moderator:
Ila Kumbukeni Mungu alipoumba wanadamu wakiwa WAKAMILIFU aliwaumba wakiwa WAREFU.
 
haaa yaani we unataka wife akuangalizie chini ya kidevu?sa ye atakudekeaje?coz mwanamke anadekea kifuani kwa mwanaume.

soma vizuri weye...nimesema akiwa amevaa heels ndio anizidi kidogo
 
Back
Top Bottom