Short time Kwenye Guest watoe EFD

Short time Kwenye Guest watoe EFD

Hahaha... Na unavyopenda kujiachia...

# Khanga moko laki sii pesa #
# .... Ndembe ndembe... #

Woyoooo...

Cc: mahondaw
Woyooooooooooooooo!!

Ndoivo shurti nijiachie bana hata nikitaka kupika na kichupi tu mimi tu nikitaka na kimtandio tu mimi full kujiachiaaaa

Mahondaw wa Smart911
 
Mpwa

Una kauzoefu????
Hahahahahahha kwa umri huu tumekwepa mishale mingi Mpwa, nakumbuka mwaka 2008 nilikua Kigoma sehemu inaitwa Karago, pembezoni mwa Ziwa Tanganyika, nililala Guest haina hata ceiling board. Usiku ulikua mrefu ule....sitakaa nisahau maishani mwangu.
 
Hahahaha

Sipati picha ulivyokuwa unagalagala.....
 
Back
Top Bottom