tehetehetehe...lol,uko sahihi mzeiya kwasababu ukienda haja ndogo muda unaotumia ni mdogo ndo mana ikaitwa short.... lakini haja kubwa lazima utumie muda mrefu kidogo(long)..lakini kijambo kinabeep na kuacha harufu(missed call)