Short listed candidates at TPDC

Short listed candidates at TPDC

Hivi nafasi za Hr na Admn bado majina ya interview?
 
Hongereni wote mliochaguliwa kwenye aptitude test,tpdc wako fair hawana longolongo mtangulizeni mungu mtafanikiwa!!
 
Hongereni wote mliochaguliwa kwenye aptitude test,tpdc wako fair hawana longolongo mtangulizeni mungu mtafanikiwa!!

Funguk kidogo Mkuu. Kuna interview oral au Written?
Longolongo na hawako fair kivipi??
 
natanguliza salamu wajomba na mashangaz,eti jaman wale waliotangulia kufanya aptitude test TPDC JANA YA 30-10-2013 embu wekeni wazi hapa question structure trend inakuwaje,kuna wagavi(PROCUREMENT OFFICER) tunaenda kufanya tarehe 6-11 week ijayo,plz tupo hapa kupeana ramani za kimaisha wandugu,namalizia kwa shukrani.
 
haya yote ni baada ya shortlist!? ...na sio ajabu ukakuta wanahitaji chini ya watu kumi tu. Hapo ndipo unakuta mtu anaanzia Bagamoyo kwa 'mtaalamu' kabla ya kwenda kwenye interview yenyewe!

Alafu angalia hapa chini (fuatilia namba); kama watu wanakosea hata majina kwenye shortlisting unadhani wataweza kupata watu sahihi.?? ...au wanafanana majina?!
[TABLE="width: 398"]
[TR]
[TD]18
[/TD]
[TD]Anold J. Moshi
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19
[/TD]
[TD]Anold J.Moshi
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20
[/TD]
[TD]Anold T.Moshi
[/TD]
[TD]M
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TD="class: xl66"]23
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 258"]Athumani O. Ally
[/TD]
[TD="class: xl68, width: 91"]M
[/TD]

[TD="class: xl66"]24
[/TD]
[TD="class: xl67"]Athumani O. Ally
[/TD]
[TD="class: xl68"]M
[/TD]

[TD="class: xl66"]115
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 258"]Gadson Mkanya
[/TD]
[TD="class: xl68, width: 91"]M
[/TD]

[TD="class: xl66"]116
[/TD]
[TD="class: xl67"]Gadson Mkanya
[/TD]
[TD="class: xl68"]M
[/TD]

[TD="class: xl66"]284
[/TD]
[TD="class: xl67, width: 258"]Peter Balangwesa
[/TD]
[TD="class: xl68, width: 91"]M
[/TD]

[TD="class: xl66"]285
[/TD]
[TD="class: xl67"]Peter Balangwesa
[/TD]
[TD="class: xl68"]M
[/TD]
!
Paw likes this.
Kumbe hata Paw huwa naye anagongea watu 'like' !?
 
mi hapo sioni maana ya short listing kwakweli, watu hadi mia nne katika category moja, wana nafasi ngapi
 
ndo hivyo mkuu wanataka mtu mmoja,hakuna uwiano,ila naona watu wamechuna hata kuambiana maswali yanakuwaje wamekaa kimya,wale waliofanya tarehe 30-10-13 watu wa internal audit.wamekaa kimya,
 
ndo hivyo mkuu wanataka mtu mmoja,hakuna uwiano,ila naona watu wamechuna hata kuambiana maswali yanakuwaje wamekaa kimya,wale waliofanya tarehe 30-10-13 watu wa internal audit.wamekaa kimya,

pepa la audit walirudi pepa la assistant accountant TRA
 
Back
Top Bottom