Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,345
- 100,328
nimekopi na kupesti kwa simu imekuja jina moja tu....
nimekopi na kupesti kwa simu imekuja jina moja tu....
Na mainjinia lini? Kwwanini wasi-upload kwenye website yao kama walivyoweka kipindi tangazo limetoka?
majina yenyewe haya hapa kwenye hii attachment
naomba uniangalizie abdallah sadalla simu yangu haiwez fungua pdf
Sio PDF. Uliomba nafasi gani?
ni IT field,ktambo nmesahau ila ni mambo ya computer
shukran mkuu,sema shortlisted katika kada ya manunuz STORES OFFCA plz naomb utuwekee attachment if u dnt mind
mkuu naona hizi ni za internal auditor,vipoi kuhusu nafasi za PR wameshashotlist?
Yale yalee kam interview za UDOM mwaka jana. Nafasi 5 hafu shortlisted mpo 100+. Ata kama competition haiwagi hivi.
Na hujui hapo wangapi wana vimemo toka kwa "wakubwa"..!!
Sisi wavumilivu Sana.
napenda kuuliza kwa mwenye kufahamu nafas za store officer zilikuwa ngapi? hadi nilishasahau km nliombaga huku tpdc
Jina lako lipo kaka. Abdalah Sadalla. System analysis. Congrats mkuu.
Interview tar 04 hadi 05 Nov, Msimbazi Centre-Ilala Dar.