Mwandishi: ''Tunasikia pamoja na yote unagombea urais 2015''
Kalowa: ''I would rather fall standing than standing the fall''
Mwandishi: ''Don't you see there is no way back?''
Kalowa: ''He will make a way back where there seem to be no way back''
Mwandishi: ''hawa watu wenye siri zako nzito unadhani wanazipata wapi?''
Kalowa: '' Aah! bwana we si unajua... a lizard is born to tresspass, huwezi kuzuia''
Mwandishi: ''Una ushauri gani kuhusu chama chako juu ya CDM?''
Kalowa: ''If a bomb offends you, don't kick it in anger''
Mwandishi: ''Unasemaje kuhusu mtandao wa JF?''
Kalowa: '' You mean faceless book, nikiingia tu naanza nao''
Mwandishi: ''Unaanzaje nao?''
Kalowa: ''They will have to put their true faces and true adress to avoid a ban''
Mwandishi: '' Wewe unataka nini na faces zao na adress zao?''
Kalowa: '' Kwa matumizi ya ofisi...wewe haikuhusu''
Mwandishi: ''Vipi kuhusu uhusiano wako na Do Once, Rosti tamu na Mzizi?''
Kalowa: '' Wewe kweli umepitwa na wakati, sasa tunacheza cd ya babu wa loliondo''
Mwandishi: '' Unasemaje kuhusu tuhuma za maandalizi ya loba za mbao?''
Kalowa: '' That Kyela boy is a pain in ass of the century...I wish I could.......''
Mwandishi:'' Lets carry on Mkuu...''
Mwandishi: ''Je una lolote la kutueleza juu ya muafaka wa.....''
Kalowa: ''Aaaghh, umeishiwa maswali?.. 2+2=5 tunaita synergy si ndio?''
Mwandishi: '' ndio mkuu"
Kalowa: '' na 1+1=0 tunaitaje?
Mwandishi: ''Enh una maanisha nini mkuu?''
Kalowa: '' My time is over, haya you can now go''
Mwandishi: ''Neno la mwisho kwa Wapiga kura mheshimiwa tafadhali''
Kalowa: '' You can never see me with your eyes open''