Shopping

Shopping

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Kwa nn baadhi ya wanawake
Wanaopelekwa shopping
Hupenda kuchagua expensive? Kama picha hapo inavyojieleza
ImageUploadedByJamiiForums1369805822.995126.jpg
 
He he he he, bora mwanamke achop your moni kuliko achop your nanii
 
just being helpful in boosting your ego; au umesahau ulimwambia "for her you can do anything"
 
Au mpe kiasi kadhaa cha fedha na bei elekezi
 
Hapo unamwacha akusanye mavitu...
akimaliza unatoka nduki

Wajanja huwa wanachagua afu wanatangulia mbele kuwahi kutoka ili baby abaki alipe......
sijui utakimbilia wapi sasa!!!!!
 
Kama unajijua huna hela basi nambie: tunaenda dukani kununua coka cola.
usinambie njoo ujichagulie kinywaji, nikisogelea shelve ya #Cristal unakuna upara...
cristal-champagne-box-gold.jpg
 
Akiwa na hela yake anakunywa Castle Lite ukimpa offer anakunywa Savannah

si kweli......huwa tunaangalia.....je utaweza kulipa bill.........? wanaume wa kulipa wanaonekana bwana.....sio blah blah nyingi.....story ndeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu.....kumbe hana kitu.........
 
si kweli......huwa tunaangalia.....je utaweza kulipa bill.........? wanaume wa kulipa wanaonekana bwana.....sio blah blah nyingi.....story ndeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu.....kumbe hana kitu.........

Hata weye?
 
Mbona kazi ndogo tu wewe mwache achague mpaka mwisho then atalipa si nafasi sawa kwa wote(gender balance)
 
Back
Top Bottom