Shopping yako ya mavazi unaifanyia wapi?

  • Nguo na viatu kwa bongo ni kariakoo japo ukienda na mapozi vibaka watakuibia kila kitu;

  • Mwenge kuna nguo za mitumba kwa wingi na ni nzuri pia.

  • Kinondoni kuna nguo na viatu vya mitumba na madukani ni vizuri sana ila bei yake ni lazima uwe umejipanga

Na kariakoo inabidi uyajue maduka vinginevyo utavaa sare ya jiji
 
I BUY ANYWHERE as long as nguo au viatu nimependa,inantosha,ina quality nzuri na pesa nnayo,...kariakoo panasumbua sana kutafuta nguo, nyingi dar combine kila mtu anazo chache ndo unique,walau kwenye boutiques,karume na mwenge ile mitumba wanayotundika ni mizuri and unique ukibahatisha,Mr.Price wana vitu vizuri pia,sio vya kukuta wengi wamevaa,makumbusho am told kuna viatu vizuri sijawahi enda lakini
 
Makumbusho kuna viatu vizuri ila bei zao wallah daaaah..................

mie kariakoo naonaga kuna vile vitu ambavyo ukivaa ukikatiza mita 2 unakutana na mwenzio amevaa
 
hvo eeh,will go smtime nkaone,
kkoo ni balaaa my dr...na hizi chiffon type sikuhizi zimejaa hadi kero,bora ht ushone kitenge tu
 
hahaha umenichekeshaje pozi la shiffon wachina wanajitahidi kuduplicate wallah
unakuta tu zimemwaga...siku ukiwa na mkwanja we nenda tu kule si unajua PESA matumizi
na kijana wetu pale Money Stunna sidhani ka kuna kinachoshindikana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom