Shoo za Mapenzi za Kihuni

Mhh, mbona wajiwekea uzio jaman, saiv huku watu wameongeza ujuz, utundu na maufundi juu ya show za kihuni. Karibu ujifunze
doh!
Mume katoka kunipa show ya kihuni jana ya mwaka 2018 sina hamu ya kurudi nyumbani
nimekuja kulala hotelini kwa siku 2 nipumzishe chiu yangu
 
shoo za kiuni ndo nn kupakua matope au cjaelewa
 
Corrections:

Hizo sio sababu za sisi wanaume kupiga/kupendelea kupiga shoo za kihuni.

Sababu ni kwamba ni fantasy yetu.
Ndio maana porn inauza sana kuliko kamasutra.
 
hii vocabulary ulotumia nimekubal big up
 
Hizi shoo kwaajili ya mke ama wa kudumu...!

Kuna nilicheza rafu ya shoo ya kibabe na ya kihuni..

Dogo kaniganda kama ruba..

Sahizi siwezi tena ikiwa tu na mpango naye kazi ntaifanya ipasavyo...

Maana lazma ni special kwa shoo za kibabe na za kihuni.. Ni hatari
 
hongera
asante kwa promo
watakufuata pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…