Shonza na Mwampamba Wapigwa Stop na Vigogo CCM ?

Hiyo ndiyo CCM, wanakununua na kukutumia Kama toilet paper Na unadumbukizwa chooni Na kuflashiwa
 
4. Kuchafuka hali ya hewa ndani ya UVCCM baada ya kuona wale waliojenga chama muda mrefu wakikosa thamani na hao wakimbizi toka CHADEMA wakikumbatiwa.

Mkuu naweza kuamini hili jaribu kupitia uzi unaoletwa na mtela au shonza utaona lumumba team wanavyopiga kimya zaidi utaona Hamyd,simiyu yetu, na m23 ambazo ni id zao wenyewe harafu pitia uzi ulioletwa na chilisos uone akina mzee marcopolo wenzake wanavyobeba bango:kev:........
 
post yako imekaa kisanii zaidi.
hebu weka evidence za uhakika
hawa vijana wamechuja wenyewe hawana jipya
leo mmoja wao kaamua kuja na single iso uzika kabisa
aliona labda itamtoa kumbe ndio inazidi kumchimbia kaburi
juliana yupo yupo tangia adanganye mgombea udiwani wa arusha kujitoa nk hana la ziada
wameshatumika na sasa washatupwa katika shimo la taka.
 
Kawaida hamy-d anashambulia Chadema, lakini hii?

attachment.php
 
Siasa zinawapotezea muda vijana wengi sana hapa nchini mpaka wanajisahau,,,,iwe chama tawala au upinzani,lakin wanaonufaika na siasa ni wachache na wananufaika kwelikweli c kidogo,,,
mi nawashauri tu kuwa siku hazitusubiri tusikubali kutumiwa na wanasiasa hasa vijana,tujifunze kwa nchi zilizoendelea sera kuu ni kuchapa kazi,,,,siasa tuziangalie na tuziache kama zilivyo
Umewashauri vizuri. Vijana wanatakiwa wafanye kazi wajenge uchumi. Kiukweli hii njia wanayoichagua haitawafikisha mbali.
 
siasa haina goodresult wala BIG result,anaglia vijana wanavyotumikishwa na kutumiwa kwenye siasa,wanapotezewa rasilimali muda bila kujijua,,,
 
Jana Mtela Mwampamba aliweka picha ya yeye na mke wake wakiwa dukani yaani niliona kama kituko fulani hivi. Ikatokea dharula fulani hivi ile picha siku idownload lakini baada ya kuona ile picha nikajua vijana hawa ni lazima wajitoe akili ili angalau waonekane wa maana kwa wanaCCM.

Picha ilikuwa inasema mara alfu kuliko maneno yangu, najuta kuikosa ile picha.
 
Last edited by a moderator:
Wamepelekwa chuo cha diplomasia ili wakakomae zaidi kisiasa watarudi tu hapa;
 
Mbona tulijua kuwa mwisho wao ungekuwa hivi.
Wadau, siku hizi hatuoni
members wa JF
Juliana
Shonza
na
Mtela
Mwampamba
wakipost post zao za propaganda wakiwatukana
viongozi wa CHADEMA kama tulivyozoea kuona baada ya wao kufukuzwa
CHADEMA.

Wengi mtajiuliza ni kwa nini. Habari za ndani zilizovuja toka Lumumba
zinasema kuwa uongozi wa CCM Taifa haukuridhishwa na mwenendo na
propaganda za majitaka za makada hao. Inatajwa pia kuwa baadhi za sababu
ni hizi.

1. Kushindwa kwa uchaguzi Arusha 4-0 huku Shonza na Mwampamba wakiwa
ndio wametawala kampeni hizo chini ya Mwigulu.

2. Kitendo cha Mwampamba kuropoka humu kuhusu jaribio la
Mwigulu
Nchemba
la kumnunua mmoja wa wagombea udiwani wa Arusha.
Kuropoka huko kulithibitika ni uongo, na kuliwafadhaisha wana CCM wengi,
wakishuhudia UONGO wa wazi toka kwa vijana hao waliofukuzwa CHADEMA.

3. Kimbelembele cha Mwampamba kuja hapa JF na kutangaza vyeo vyake ndani
ya CCM, ambavyo viliacha maswali mengi ikiwemo vikao gani vilivyompa
vyeo hivyo na kuzua kutoelewana ndani ya UVCCM:

4. Kuchafuka hali ya hewa ndani ya UVCCM baada ya kuona wale waliojenga
chama muda mrefu wakikosa thamani na hao wakimbizi toka CHADEMA
wakikumbatiwa.

Kama ilivyotabiriwa na wengi, hawa vijana
 
Mbona leo ka Mtela Mwampamba kametupia pumba humu..!? hakaskii tu..!?

katupia pumba lakini kwa upole na heshima ya hali ya juu,anatamani kurudi cdm lakini hawezi,kile kishenzi sijui shonza kimewekwa kinyumba wapi sijui maana hakisikiki wala kuonekana!!liMwigulu nchemba limeoa haliwezi kumuacha mke wake.
 
Wadau, siku hizi hatuoni members wa JF Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakipost post zao za propaganda wakiwatukana viongozi wa CHADEMA kama tulivyozoea kuona baada ya wao kufukuzwa CHADEMA.

Wengi mtajiuliza ni kwa nini. Habari za ndani zilizovuja toka Lumumba zinasema kuwa uongozi wa CCM Taifa haukuridhishwa na mwenendo na propaganda za majitaka za makada hao. Inatajwa pia kuwa baadhi za sababu ni hizi.

1. Kushindwa kwa uchaguzi Arusha 4-0 huku Shonza na Mwampamba wakiwa ndio wametawala kampeni hizo chini ya Mwigulu.

2. Kitendo cha Mwampamba kuropoka humu kuhusu jaribio la Mwigulu Nchemba la kumnunua mmoja wa wagombea udiwani wa Arusha. Kuropoka huko kulithibitika ni uongo, na kuliwafadhaisha wana CCM wengi, wakishuhudia UONGO wa wazi toka kwa vijana hao waliofukuzwa CHADEMA.

3. Kimbelembele cha Mwampamba kuja hapa JF na kutangaza vyeo vyake ndani ya CCM, ambavyo viliacha maswali mengi ikiwemo vikao gani vilivyompa vyeo hivyo na kuzua kutoelewana ndani ya UVCCM:

4. Kuchafuka hali ya hewa ndani ya UVCCM baada ya kuona wale waliojenga chama muda mrefu wakikosa thamani na hao wakimbizi toka CHADEMA wakikumbatiwa.

Kama ilivyotabiriwa na wengi, hawa vijana wameshatumika kama toilet paper, na wanaendelea kutoweka kwenye siasa za Tanzania.

Hahaaaaa mkuu hii kali, kumbe tumepigwa stop mi nilikua sijui,wakina nani hao waliotupiga stop huenda kuna juliana na mwampamba mwingine waliopigwa stop,
Mimi kila siku nawaambia ndugu zangu hapa kwetu mtasuburi sanaaaaaaaaaaaaaa ,na hayo mnayotuombea katu hayawezi yakatokea take it from me today.
Sisi ni vijana watiifu wa chama cha mapinduzi,viongozi na wanachama wenzetu wanatupenda mno na walitupokea kwa mikono miwili na tunafurahi namna wanavyotushirikisha katika shughuli za uimarishaji wa chama chetu huku tukifanya kazi katika idara ya uhamasishaji uvccm makao makuu.
Sasa huko kuchuja na kutumika kama toilet paper mnakokusema ni kupi?kufanya kazi ya ujenzi wa chama ktk idara ambayo ndiyo injini ya jumuiya ,idara ya uhamasishaji?hahaaa you guys try to be serious bwana.
Na bado tunashiriki katika oparation mbalimbali za chama zilizipo na zijazo.
Ccm ni chuo cha kupika na kuandaa vijana kuwa viongozi wa badae,huku kiongozi huandaliwa sio huko kwenye saccos yenu ambapo mnawatumia vijana kuandamana shukrani yao ni kupewa viroba.
Huku vijana tunafundishwa siasa ni uchumi kwamba vijana tujitume kufanya kazi kwa bidii ,siasa tunafanya kama sehemu ya maisha na sio siasa kuwa maisha.
Huko kwenye ile saccos ya ukanda ule mnawafundisha vijana siasa ni maisha na ndio maana vijana wenu wengi hawafanyi kazi wanaamini siasa itawatoa katika maisha hali inayopelekea kila kijana kuwaza kuwa mbunge badala yakufikuria namna gani atajikwamua kiuchumi(Rejea mgogoro uliopo jimbo la Tarime kati ya wale vijana wenu wawili wanaopigana kugombania jimbo)They dont hv another alternative for his life.Hao ni sample ndogo tu niliyowapa lakini ndiyo picha halisi ya vijana wenu.
Mimi ni mwanamke wa shoka nilishawaambia siku nyingi,sichuji leo wala kesho ndo kwanza nazidi kushine with my strong political party.
Acheni kuota ndoto za abunuwasi,ila mkiona zinawasaidia kuwafariji basi endeleeni.
Shonza atabaki kuwa shonza always jeshi la mtu mmoja.
NOTE:kuna tofauti kubwa sana kati ya maabara na daktari.Maabara hutafuta kasoro na kuziacha hapohapo(chadomo)
Daktari (CCM)hutibu kasoro zinazosababisha ugonjwa.
Mimi nimechagua kwenda kwa daktari maana najua nitakuwa salama
chadomo ni sawa na maabara tu mtaishia kupiga kelele na kutafuta vijikasoro lakini ccm inatibu matatizo ya wananchi wake.
viva UVCCM
viva CCM
Long live Mwenyekiti wetu mh Jakaya Mrisho Kikwete.Watanzania tunaojitambua tupo nyuma yako na tunathamini juhudi na jitihada zako.
 
Nimeona niwape japo bashrafuuuu kidogooo
 
Back
Top Bottom