Shonza Na Mkakati Wa Kuiua CCM....

Shonza Na Mkakati Wa Kuiua CCM....

Status
Not open for further replies.
Kwa sie tulio wataalamu wa HOW To INFILTRATE in your enemy camp, then habari kama hii hatuwezi kuiacha kuipa uzito hata kama unaweza kuipuuza!

vipi mkuu naona malalamiko yako ya chadema kutokufika lindi na mtwara yamekoma..
 
Jana Jumatano, kulikuwa Na kikao kuanzaia saa Kumi alasiri hadi usiku sana kati ya wajumbe wanne vigogo wa CCM Ndani ya jengo hili la ofisi Za Mkoa Za CCM, Lumumba. Mbali Na mambo machache waliyozingumza Hoja kubwa iliyotawala Kwa Muda mrefu hadi Usiku sana ni Tishio la ujio wa Aliyekuwa Makam Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Juliana Shonza Ndani ya CCM.

Mjumbe aliyedadavua Hoja alisema Bidada huyo katumwa Na Chadema kukiangamiza Chama. Mjumbe alisema Kwa kujiamini Kwamba bidada huyo aliyelishwa yamini Na Chama alitumwa apenye Na Kuzitoa siri Za Chama. Msemaji alisema ile kukitukana CDM Kwa Hoja nyepesi ya kukopa fedha ni gia ili CCM IMWAMINI Na kumpatia nafasi nyeti kwa urahisi. Msemaji huyo alisema mishen yake inayofananishwa Na vita ya KIPPUR Kati ya mataifa ya Kiarabu juu ya Israel mwaka 1967 chini ya wenyekiti Wa Misri kipindi kile Anwar Sadat akiwa RAIS wa Misri ambapo mwanamke mmoja wa kiyahudi aliyekuwa ameolewa Na Mmisri ndiye aliyevujisha taarifa kwa jeshi la Israel iliyopelekea,Mataifa hayo yakapigwa mbaya hadi Leo Misri hathubutu kuzipanga Na Israel.

Msemaji aliendelea kudai Ndani ya CCM," Hata sisi wanne inawezekana CHADEMA Wakawa Na Mtu wao" (HAKUKOSEA).. Ndio Maana watu wa Chadema Ndani ya CCM wakampenyeza Bint yule Na kijana Yule hadi Mbele ya RAIS Na kupata nae wasaa ili CCM wengine tumwamini kirahisi kitu ambacho hadi Leo RAIS anahoji nani aliyewasogeza vijana wale hadi karibu nae?

Mjumbe akaendelea kuweka wazi Yule mvulana(akimanisha mwampamba) ni Zuzu Yeye hajui lolote, alifukuzwa Kama ushahidi tu ila inshu yote anayo Bint. Akasema ili kugundua anachosema watazame vikao vyao, Mara zote Bint ataalikwa Na atatoa maneno ya Vitisho kwamba anaijua CDM Na CCM ili apate uungwaji kirahisi..

Wajumbe walichangia Kwa jazba Na ukali Na kikao hakikuisha vizuri kwama kilivyoanza. Wajumbe wengi walionekana kukereka Na jinsi RAIS alivyokubali kuwa nao karibu kwamba wao miaka yote hawajawaji Hata kumsalimia. Wajumbe walionyesha ghadhabu Na wivu binafsi Na kuacha kuchangia hoja hiyo hadi kikao kilipovunjika kila mmoja akiondoka akisonya..

Njaa na wivu vinawasumbua hao wajumbe walioleta haya maneno, wameona wenzao wamepokelewa kwa uzito mno kwenye chama na wanahisi watapewa madaraka fulani na wao wakaachwa bila kuzingatia kuwa wao wapo ccm muda mrefu. Hakuna cha ukweli hata kimoja walichokiongea. CCM imewapokea hao kwa staili hiyo ili kuwahamasisha chadema wengine kuhamia ccm.
Sidhani kama ni kweli kuwa walipenyezwa mpaka kuwa karibu na JK bila JK kutaarifiwa kabla.
Sishangai binti kualikwa sehemu nyingi na ccm kwa sababu hakuna mtu asiyejua kuwa viongozi wa juu wengi wa ccm ni wakware.
Ni wivu na uroho wa madaraka unawasumbua hao wajumbe wa ccm. Wameanza kuaply profession yao(Majungu).
 
Sasa hivi mtamuona Juliana anasukuma prado na kuishi kwenye palace kule mbezi beach, ukahaba wa kisiasa unalipa!
 
CDM tunaweka mapandikizi kila kona ya nchi na nje ya nchi, Tuko vizuri kila idara tumekamilika
 
Aaaaaaaah, thubutu!!!!!!!!!!, CDM hawawezi kumtuma kilaza yule.
 
vipi mkuu naona malalamiko yako ya chadema kutokufika lindi na mtwara yamekoma..

Nilalamike nini mkuu wangu wakati nilikuwa nawatakia mema nyie wenyewe....!! Usitake kuniambia kwamba hadi leo hufahamu msimamo wangu uko vp kuhusu CHADEMA! Waungwana tulivyo, hata kama mtu hatumpendi, bado tunamtakia heri na mema kwa yale ayafanyayo!! Binafsi, CHADEMA is not my favorite, the same as CCM but i wish all the best for CHADEMA if they think they can deliver wht CCM failed. CHADEMA sio chaguo langu but tht will not stop me to advice anything i find good for them!!

Hata hivyo, kama bado unataka kufahamu msimamo wangu kuhusu CHADEMA kusini, sincerly bado hamjafanya jitihada za kutosha....it's like mlienda kutoa lawama!! Mwambie Mwita Maranya hiyo isije ikawa sababu ya kuniambia kama naitaka CHADEMA basi nikafungue matawi na kukiimarisha....!!!!
 
Jana Jumatano, kulikuwa Na kikao kuanzaia saa Kumi alasiri hadi usiku sana kati ya wajumbe wanne vigogo wa CCM Ndani ya jengo hili la ofisi Za Mkoa Za CCM, Lumumba. Mbali Na mambo machache waliyozingumza Hoja kubwa iliyotawala Kwa Muda mrefu hadi Usiku sana ni Tishio la ujio wa Aliyekuwa Makam Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Juliana Shonza Ndani ya CCM.

Mjumbe aliyedadavua Hoja alisema Bidada huyo katumwa Na Chadema kukiangamiza Chama. Mjumbe alisema Kwa kujiamini Kwamba bidada huyo aliyelishwa yamini Na Chama alitumwa apenye Na Kuzitoa siri Za Chama. Msemaji alisema ile kukitukana CDM Kwa Hoja nyepesi ya kukopa fedha ni gia ili CCM IMWAMINI Na kumpatia nafasi nyeti kwa urahisi. Msemaji huyo alisema mishen yake inayofananishwa Na vita ya KIPPUR Kati ya mataifa ya Kiarabu juu ya Israel mwaka 1967 chini ya wenyekiti Wa Misri kipindi kile Anwar Sadat akiwa RAIS wa Misri ambapo mwanamke mmoja wa kiyahudi aliyekuwa ameolewa Na Mmisri ndiye aliyevujisha taarifa kwa jeshi la Israel iliyopelekea,Mataifa hayo yakapigwa mbaya hadi Leo Misri hathubutu kuzipanga Na Israel.

Msemaji aliendelea kudai Ndani ya CCM," Hata sisi wanne inawezekana CHADEMA Wakawa Na Mtu wao" (HAKUKOSEA).. Ndio Maana watu wa Chadema Ndani ya CCM wakampenyeza Bint yule Na kijana Yule hadi Mbele ya RAIS Na kupata nae wasaa ili CCM wengine tumwamini kirahisi kitu ambacho hadi Leo RAIS anahoji nani aliyewasogeza vijana wale hadi karibu nae?

Mjumbe akaendelea kuweka wazi Yule mvulana(akimanisha mwampamba) ni Zuzu Yeye hajui lolote, alifukuzwa Kama ushahidi tu ila inshu yote anayo Bint. Akasema ili kugundua anachosema watazame vikao vyao, Mara zote Bint ataalikwa Na atatoa maneno ya Vitisho kwamba anaijua CDM Na CCM ili apate uungwaji kirahisi..

Wajumbe walichangia Kwa jazba Na ukali Na kikao hakikuisha vizuri kwama kilivyoanza. Wajumbe wengi walionekana kukereka Na jinsi RAIS alivyokubali kuwa nao karibu kwamba wao miaka yote hawajawaji Hata kumsalimia. Wajumbe walionyesha ghadhabu Na wivu binafsi Na kuacha kuchangia hoja hiyo hadi kikao kilipovunjika kila mmoja akiondoka akisonya..
Kwa CCM kuwa mashuhuri ni bidha inapatikani kwa bei mbaya. Wajumbe waliona wivu hao mamluki kupata umashuhuri kwa bei ndogo.
 
ccm mpeni Ujumbe wa kamati kuu na NEC hAWA WALIOFUKUZWA chadema( Bi.Shonza na Mwampamba) watawasaidia kushinda uchaguzi mkuu wa RAIS na WABUNGE mwaka 2015!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom