mzalendokweli
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 579
- 138
Shonza mganga njaa tu hana lolote.
Tena njaa kali, halafu ni mkatili sana, kaeni nae mbali.Shonza mganga njaa tu hana lolote.
kila kukicha shonza shonza wat the hell is she in the ground of politics rather kujishebedua kwa vigogo,
Mmmmmmh..Hivi hizi vurugu zote watu wanatafuta nini?
Kurudi ruksa!.. Lakini hawezi kupata nafasi kubwa kama zamani.
Huyu ndiye Juliana Shonza
![]()
Huyu ndiye Juliana Shonza
![]()
vjana wa ccm wanaanza kuhofu kupokonywa nafasi zao tu
Kwa sie tulio wataalamu wa HOW To INFILTRATE in your enemy camp, then habari kama hii hatuwezi kuiacha kuipa uzito hata kama unaweza kuipuuza!