Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Nafurahi unajua kuwa pale lumumba ni kijiwe..,Story za kijiweni...
Nafurahi unajua kuwa pale lumumba ni kijiwe..,Story za kijiweni...
Nafurahi unajua kuwa pale lumumba ni kijiwe..,
Lumumba mbona kuna vijiwe vingi tu vya siku nyingi...
ukiangalia saana shoza juliana atawachanganya saana ccm mwishowe atarudi chama kubwa chadema
Tutasikia mengi mwaka huu. But mbona RAIS alipiga picha na Diamond Platinumz huku Diamond kavaa vinguo vya kitoto hawajashangaa ndio wanashangaa rais kupiga picha na ''makamu mwenyekiti wa BAVICHA'' aliyefukuzwa???
Huo ni wivu tu wa akina Tambwe Hiza kuwabania hawa vijana wasipate posho za kuzunguka nchi nzima kuwaeleza watanzania ''maovu'' na ''ubabe' uliopo CHADEMA. After all CCM ina wanachama milioni saba inatishikaje na wanachama wawili tu?
ukiangalia saana SHOZA JULIANA atawachanganya saana CCM mwishowe atarudi Chama kubwa CHADEMA
mnampa promo tuu Hana
lolote huyo binti.
Tujiulize zaidi what exeptional does this little lady has? nothing, its
only media gives her political millage.
Mwanasiasa gani anayemshambulia mtu mmoja (dr.slaa) tena kwa mambo
binafsi ambayo sio muhimu kwa watanzania.kwangu mimi hizo nisiasa za
hovyo kabisa,
Sisimizi kwa CHADEMA ni Tembo kwa CCM...Hivi huyu mdada ana nini?.
Mimi nilifikiri ni sisimizi tu ambaye unaweza kumkanyaga na kumuua bila hata kugundua kama umefanya hivyo.
Mbona watu wanatumia nguvu nyingi kutaka kumuua wakati ni sisimizi. Kwa nini msimkanyage tu.
Mnatujaza wasiwasi na usisimizi wake.
Mjumbe aliedadavua hoja lazima atakuwa TAMBWE HIZA tuu.
mnampa promo tuu Hana lolote huyo binti.
Tujiulize zaidi what exeptional does this little lady has? nothing, its only media gives her political millage.
Mwanasiasa gani anayemshambulia mtu mmoja (dr.slaa) tena kwa mambo binafsi ambayo sio muhimu kwa watanzania.kwangu mimi hizo nisiasa za hovyo kabisa,
Sisimizi kwa CHADEMA ni Tembo kwa CCM...
kwani chadema watakuwa bado wanamuhitaji? akirudi chadema watampokea? mwishowe asipokuwa makini atakuwa kama mtu asiye kuwa na uraia.kila nchi (chama) inamkataa.ukiangalia saana SHOZA JULIANA atawachanganya saana CCM mwishowe atarudi Chama kubwa CHADEMA