Sholo mwamba: We Mama Achia body.....!!!!

Kuna video nyingine imesambaa ya uswazi wanacheza wanaume kama wamevurugwa wimbo unaitwa Kambale...khaaaa
hahahahah ninayo clips yake hiyo unambiwa mwaga maji mwaga maji tucheze kama kambale
 
Mhmh dunia yaleo sio yajana basi,Muliotangulia huku sasa nikubaya na hakutamaniki tena
 
shemeji umebeba nini ...mabiringanya shemeji ...ukinipa lishe ..ukinipa napiga tena...,woooooooyooo...chipsi kavu utaki unataka na mayai ...ni kwereeeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…