Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,514
- 6,489
Hivi kati ya hawa wahusika wawili wanaoudhi sana akili na nafsi yangu, ni nani hasa ndie kichocheo cha kuwepo huu mchezo wa hovyo kabisa ambao naamini hata machoni pa shetani mwenyewe ni maudhi tu?