Shoga anaweza kuoa?

Shoga anaweza kuoa?

Wanaoa namjua shoga mmoja ana watoto 4 na alianza ushoga tangu akiwa secondary ila mkewe amekuja kujua kama mumewe shoga akiwa na mimba ya mtoto wa nne so anaweza oa na kuzaa
 
mashoga wa kibongo wengi ni wa kujitakia na sio kuzaliwa na wengi wameowa na wana watoto.ila kwa kuwa funza zimeshawajaa kwenye makalio hawawezi kuacha ushoga huo na mara nyingi wake zao hawajui. kuna mmoja hapo posta yuko TRA alikuwa akitangaza kwenye mtandao wa marafiki dot com. ukikutanane kabla wewe unayemkuna mashine yako haijatuna ya kwake tayari imetuna balaa na kubwa kuliko yako kama muoga unaweza kukimbia ukizani atakugeuka kumbe ndivyo alivyo. katika maongezi anasema kabisa ana family ila mkewe hajui.
 
Back
Top Bottom