Shocking! Nusu ya vifo hutokana na maelezo ya daktari

Tuna miaka 50 ya uhuru nini kimeshindikana? Tutaweza lini tusipojaribu? Ugumu uko wapi? Tatizo ni moja tu... Tumeacha taaluma na kuipa siasa kipaumbele na thamani kubwa

Ila tunapoelekea huko kwenye kuweza n kujaribu, kwanza tuwekeze zaidi kwenye Elimu za watu wetu.
 
Ila tunapoelekea huko kwenye kuweza n kujaribu, kwanza tuwekeze zaidi kwenye Elimu za watu wetu.
Too far to be real ni mpaka tutakapoacha siasa kwenye mambo ya msingi na ya kitaalam.... Ni mpaka elimu na taaluma vitakapopewa nafasi ya kwanza
Maswali muhimu
Lini?
Na nani?
 
Asante sana kwa mrejesho vipimo viko ok lakini ukaandikiwa na doze ya 55elfu
God is watching...! Ishu ya kuumwa kichwa mapumziko kunywa maji mengi na panadol vingesaidia... Ila watakula wapi?
Aha ha haaa! Yaani ningeenda Hospital ya wilaya sidhani kama wangejaza dawa zote hizo,

Mbaya zaidi mmiliki wa hii Hospital ni MCHAGA
 
Aha ha haaa! Yaani ningeenda Hospital ya wilaya sidhani kama wangejaza dawa zote hizo,

Mbaya zaidi mmiliki wa hii Hospital ni MCHAGA
Watani zangu hawa na shekeli utafikiri ni zakari na panunu
 
ndo ujue kwa nini ukishwindwa unaambiwa katibiwe njee.mbona wenyewe hawaji huku kutibiwa
 
hizi ngonjera nazo kufaidi tune lazima uwe zaidi ya kichaa. vipi unalisemeaje suala la gharama za kuwasiliana na kiongozi wa kukuosha kiroho? maana bila SADAKA, ZAKA, MALIMBUKO, KUTEGEMEZA, SHUKURANI, MAJI YA BARAKA, ROZALI NK. NK NK tunaambiwa haujakamilika?
 
bila kusahau RANGI MBILI na ngao (ya vidonge na ya maji) sasa hivi hata makumbusho hupati ngao
 
Kuna kitabu kinaitwa natural cures they dont want you tu know na kevin tradeau jamaa anaongelea hizo ishu kwamba madawa ni biashara tu.
 
Kuna vifo vinatokana na ushauri na ushawishi wa daktari... Yani kama ukienda tofauti na yeye unaweza kuongeza siku za kuishi
Nilijisikia kuumwa hadi ukiniangalia macho unanajua naumwa,nikaamua kwenda kupima malaria nikakutwa sina malaria jamaa wakaniambia itakuwa U.T.I hivyo wakataka nipime,mie nikawaambia nitarudi baadaye nikaondoka zangu nyumbani na kujinywea panadol tu hadi ile hali ikaisha.
 
Ugonjwa ni biashara usipokuwa makini unageuzwa bidhaa
Jr
 


Wewe ndio unajidanganya. Kifo nacho ni biashara. Sijui kama unalijua hilo.

Kwa akili yako ndogo unafikiri kifo hakiwezi kudhibitiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…