Tuna miaka 50 ya uhuru nini kimeshindikana? Tutaweza lini tusipojaribu? Ugumu uko wapi? Tatizo ni moja tu... Tumeacha taaluma na kuipa siasa kipaumbele na thamani kubwa
Ila tunapoelekea huko kwenye kuweza n kujaribu, kwanza tuwekeze zaidi kwenye Elimu za watu wetu.