Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
"Hivi hamjui kuwa mambo yamebadilika tuu"-jpm
2019,hali itakua ngumu mno dalili za mvua ni mawinguSubiri 2019 maneema yatamwagika.
Ukiona ngoma inalia sana jua inapasuka hali ya uchumi ni mbaya mnoNilikuwa najaribu kufanya hesabu ya jinsi serikali ya wanyonge ilivyotuibia watumishi wa umma;
1. Hakuna statutory annual increment kwa miaka mitatu, mfn. Wakati wa kikwete kila mwaka ongezeko lilikuwa ni wastani wa 50,000/ kwa kila mwaka kwa kada X hivyo mwaka wa kwanza 50,000 ×12 = 600000 mwaka mwingine (50000 + 50000 = 100000) hivyo 100000× 12= 1,200,000. Mwaka wa tatu itakuwa 150000 × 12 = 1,800,000. Hivyo jumla ya kipato ama haki aliyokosa mfanyakazi huyu ni; 600000+1200000 + 1800000 = 3600000
2. Njoo kwenye ongezeko la Bodi ya mikopo 7%, kwa mtumishi ambaye 50000 ndo asilimia saba ya mshahara wake amepoteza kiasi cha shilingi 1200000 tangu sheria hii ianze kufanya kazi.
3. Kutopanda daraja, kama mtumishi huyu hajapanda daraja kwa miaka miwili, yaani toka march 2017 hadi October 2018 kwa mfano, na ongezeko lake la mshahara baada ya makato mengine ingebaki 150000 kwa kila mwezi basi itakuwa ni 150000 × 18 miezi = 2,700,000/tsh kapoteza.
Hivyo kwa ujumla kanyimwa haki yake kama ifuatavyo; 3,600,000 + 1,200,000 + 2,700,000 = 7,500,000 kwa kipindi husika.
Acha kazi.nishukuru nini wakati kazi nafanya na natumia muda wangu tokea 10 alfajiri mpaka 11jion! hii sio fadhila mjomba jiangalie
Lugha yako Kali sanaMlikuwa wapiga dili nyie vumilieni tu, kimbelembele chenu wafanyakazi wa umma kwa kutuletea shetani huyu kwenye lile banda jeupe
Acha kazi kama hela hakutoshi