Inawezekana pia. Nice thinking japoUna uhakika gani imepigwa na professional au ni mtu tu mwenye simu ya camera au camera?
Usasa mkuu...! siku hizi watu wanaleta mambo ya u-sasa hata kusikofaa kabisa mfano kwenye nyumba za ibada..hii ni siku ambayo hata kuja kusahau kamwe, kulikuwa na ulazima gani wa kuvaa gauni kama hiyo??
Usasa mkuu...! siku hizi watu wanaleta mambo ya u-sasa hata kusikofaa kabisa mfano kwenye nyumba za ibada..
watu wanatafuta kufanya kitu cha tofauti ambacho kitafanya sherehe yake kubaki kuwa gumzo (hasa kwa wanawake wenzie)