Shkamoo gauni la harusi

KWANGU IMEGOMA LICHA YA JITIHADA KADHAA
 
Professions nyingi zimeingiliwa. Hakuna tena ethics. Mpiga picha ilitakiwa amwambie ajirekebishe ili aipige picha vizuri.

Picha ni kumbukumbu. Wapiga picha vihiyo hawafahamu hili.
Inawezakuwa ni movie pia, hasa ukiangalia mazingira.
 
sasa nimeona........siku hizi vyakula vinaharibu mtindi
 
Professions nyingi zimeingiliwa. Hakuna tena ethics. Mpiga picha ilitakiwa amwambie ajirekebishe ili aipige picha vizuri.

Picha ni kumbukumbu. Wapiga picha vihiyo hawafahamu hili.
Una uhakika gani imepigwa na professional au ni mtu tu mwenye simu ya camera au camera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…