mdogo wangu wa form four ni kada mzuri wa CDM kuliko huyo ShitambalaTupa kule watu wa aina yake wote....aliondoka kaburu na wengine wengi tu ila chama ndo kikakua na kujipambanua zaidi kama chama cha ukweli na wapambanaji wa ukweli....bora kuwa wawili wenye msimamo kuliko kuwa kumi kumbe wengi mamluki.
Walipewa pia tshirt, kofia, khanga na pilauMbona unaweka PICHA ZA MIAKA KIBAO ILIYOPITA? HALAFU HAO WATU WALILETWA NA MAFUSO YA KUKODI
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!
Matambara is just like a piece of sand in the middle of a desert.
wewe unapara miwaSawa, nikukumbushe kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha. I support strong opponents kwa watawala kwa sababu hilo ni chachu kwa maendeleo lakini bila shari, wanasema Ccm hawasomi alama za nyakati halafu wao wenyewe wakasahau kuzisoma. We saw the lovely Chadema rising, hard to see them falling so soon!!
Its never too late though, you know we need change and you need change so change is our point of intersection but that begins with you. Switch to right politics before its too late...
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!
Aliwahi kugombea uenyekiti wa Chadema inaelekea siku moja angeacha wanachama wake kwenye mataa,let us wish him all the best in his new position,atapewa ubunge manake ni nafasi tatu tuu JK kazitumia nitacheka atakapo kuwa anagonga ma meza kuwakejeli wabunge wa chadema kweli dunia tambala bovuNi vema amejitoa mapema ,anaweza kupewa nafasi ya kuwa mkuu wa propoganda mkoa wa mbeya kiusanii,ngoja tusubiri
hahahah mkuu!wewe unapara miwa
Dr.Slaa alimtetea , nilimwandikia E-mail kuwa anapaswa kwanza kufanya utafiti wa kina juu ya malalami8ko ya wananchi kabla ya kuamua.
Niliwahi kuwaambia CHADEMA mambo yafuatayo kuhusu huyu jamaa,My. take; kama Mwenyekiti wa Mkoa anaondoka bila kuwa na wanachama wa kumfuata hiyo ni dalili kuwa hakuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho ndani ya uongozi wake .
- Ni mwanajeshi ambaye alikuwa kanali tena ni komandoo, ila hajawahi kufukuzwa jeshini hata siku moja na hivyo kuwa kwake uraiani kulinipa mashaka.
- Ni mtu ambaye alikuwa Court Mashall , ila haijulikani nini kilimfanya akaenda huko uraiani kwani haiwezekani kirahisi tuu akawa uraiani.
- wakati wa uchaguzi mdogo mbeya baada ya kujaza fomu na kukosea niliwaambia kuwa huo ni ujanja , kwani hata siku za kurejesha fomu alilazimishwa kurejea kutoka DSM eti alikuwa anafuata kombati...
- Alipolaumiwa kuwa aliwauza wana Mbeya na Dr.Slaa alimtetea , nilimwandikia E-mail kuwa anapaswa kwanza kufanya utafiti wa kina juu ya malalami8ko ya wananchi kabla ya kuamua , ila kwa sababu alifanya utafiti nikaamini kuwa alipaswa kumrejesha.
- Aligombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA , na aliposhindwa alianza kulalamika kwa watu mbalimbali ile hal;i wakati huo hakuina aliyekuwa anamfahamu zaidi ya kushindwa kujaza fomu kwenye uchaguzi mdogo.
- Ameenda CCM kwani amejikuta akiwa hana kesi kwani wateja wake walimwambia kuwa hawawezi kumpatia tena kesi sasa tusubiri ili kuona nini kitaendelea siku zijazo.
ndio haswaaaaaaaaa
hatuwezi shangaa zitto akihamia CCM