Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlengo wa Kati, Apr 8, 2011.

 1. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hana tofauti na Zitto Kabwe in case kuna ukweli na alituhumiwa kuhongwa ili kuiangusha CDM wakati wa kampeni Mbeya.alipoteza uaminifu sana ingawa Dr. Slaa aliwasihi wana mbeya wamvumilie.
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ok tujuze zaidi
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  endelea kutuambia basi! tukusikie na wewe!
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hao ni vibaraka tu ambao hawatabadilisha upepo wa mageuzi. Huyu si ndiye yule alihongwa kuuza jimbo la Mbeya vijijini?
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Huyu ni SHITAMBALA!?? Ninayemfahamu!?
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ndio haswaaaaaaaaa
  hatuwezi shangaa zitto akihamia CCM
   
 8. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mapambano tulioanza yameshafika mstari wa mbele milele hata milele. Kiwe cha kikabila cha kidini cha kihuni so longer kinaeneza yale ninayo ona ni ya msingi na mimi intellectual hakuna shida peoples power ukweli utajulikana ,mfa maji haachi kutapatapa uroho wa madaraka utawatokea puani watu kama hao na kama ajasoma alama za nyakati ameenda kujichimbia kaburi chadema=chama cha demokrasia na maendeleo ntaedelea na msimamo huu unless proven otherwise
  mungu tubariki wapambanaji mpaka kieleweke wasaliti tutawajua tu.
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Maskini anajimaliza kisiasa! Moto wachadema hauzimiki kwa sasa!
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kweli hata ule uchaguzi mdogo alikula pesa akajifanya eti fomu zimesainiwa na wakili, sasa amerdi kwao na aendelee vizuri kwa kuwatumikia mafisadi.Tutaoa kama hataanguka kama lamwai, bagenda na mpuuzi tambwe.
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haya sasa
   
 12. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :tape:

  Well, let him go...Chadema ina wanachama wenye mawazo na mitazamo mipya kibao....

  Kila la kheri Shitambala....we will miss you but CDM will still be strong and take some steps ah
  ead...
   
 13. mku

  mku Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tarehe 1 mwezi wa nne ilipofika ulikuwa wapi? au ndo unaamka kwenye usingizi....

   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 15. mku

  mku Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndo nini sasa?
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  huyu aende zake haraka manake alisababisha chaos kwa wana CDM Mbeya.Alituhumiwa kudaka mlungula ili aidhoofishe CDM mbeya.

  Kamwe CCM cant win our heart this time.Wavifunge Universities zote in case wanataka kuendeleza mauozo yao.Universities are breeding grounds for CDM.
   
 17. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ameomba msamaha kwa mbunge wa mbeya vijini mchungaji mwanjala na wanakumbatiana! Anasema yeye ameijenga chadema mbeya anajua tofali zote mbovu na imara! Anasema JK awashugulikie chadema wala asiwe na huruma nao!
   
 18. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  cdm inawasumbua sn ccm, wanaitafuta kila kona lakini wapi cdm ndo inazid kuchanja mbuga.
  Suala la mtu kuhamia ccm sidhani kama ni ishu, ndio maana kila nafasi hata uteuzi wa wagombea ubunge huwa kuna watu kadhaa wenye sifa kemkem lakini huwa anachaguliwa mmoja tu, so akiondoka huyo matambara nina hakika cdm ina hazina kubwa sana ya viongozi, wala haitatetereka.
  Nionavyo mimi katika hili: ccm wanataka kuipoteza hoja ya muswada wa katiba mpya na kulazimisha attention katika huu upuuzi.
  Watanzania wapenda manedeleo na mabadiliko tusirubuniwe kwa huu ujinga ambao wapuuzi (ccm) wanataka kututoa kwenye hoja ambayo tukifanya mchezo tutajuta maishani. NAFASI YA KIONGOZI TUTAIJAZA NA TUTAPATA KIONGOZI MZURI KULIKO HUYO MATAMBARA, LAKINI MJADALA WA KATIBA UKIPITA KUURUDISHA TENA NI VIGUMU. TUWE WAANGALIFU.
   
 19. mku

  mku Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna mtu anajua maana ya shitambala....ukijuaq maana yake wala huwezi hata kuuliza ni kwanini anafanya hivyo....mmie yangu masikio.
   
 20. S

  SON OF DAVID Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu si ndo yule aliyeiuza jimbo la Mbeya vijijini. Chadema wanataarifa kuwa Huyu naye ni Usalama wa Taifa. Nasikia Uchunguzi ulikuwa unaendelea. Naona amepata taarifa kwamba atamwgwa, yeye kawawahi Chadema, La sivyo, lazima amehongwa.
   
Loading...