Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine!!

Hakuna dosari katika maneno yake, hapo kwenye red huyu ni kabarua ghali kuliko vibarua wote hapa Tanzania..12M
 
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!
vyama vya msimu vina kazi kwelikweli,na bado wengi wataondoka tuu hata Slaa hana raha kwasasa kwa mtu aliyeonana nae na ambaye amesoma psychology anaweza kuthibitisha hilo
 
umesahau chama cha kidini,kikanda kama alivyokukaririsha JK
Hata jana CDM walikuwepo tegeta wakati wa mauaji au sio.

If CDM ni chama cha vurugu basi qualifications za kuingia University ziwe "mtu wa vurugu"
Ukitaka jenga chama lazima uwe na mafungamano na vijana na hasa wasomi na huu ndio mtaji mkubwa wa CDM
Nakushauri muanzishe mchakato wa kuwainfluence wanafunzi wa VETA wajiunge chama la mafisadi in case

Kuweni wastaarabu, kama mapigano ya ardhi yamekuwepo enzi na enzi. Lakini hili la mtu kuanza kushambuliwa kwa maamuzi yake binafsi ni utovu wa nidhamu usivumilika, mambo ya siasa ni sawa na ndoa mtu akiamua kuoa ama kuolewa na changudoa ni maamuzi yake binafsi na yanapaswa kuheshiwa na si kushambuliana. Ni kuheshimu uamuzi na matakwa kama walivyokuheshimu Safari alipohama. Uamuzi binafsi ni mbadala wa sheria.NA usipoheshimu uamuzi na mawazo ya wenzako kamwe huwezi heshimu SHERIA.
 
28f70fb9f60d4292845689ce50ca0b01.jpg

Hivi ni sawa kiongozi wa nchi unahutubia watu wako wakiwa wanahatarisha masiha yao juu ya mapaa ya nyumba?
 
Siasa za kurubuni viongozi wa upinzani kuhamia CCM hazitaisaidia CCM, kwa sababu zifuatazo.
  1. Waliishafanya hivyo huko nyumba na kuwapa watu kama kina Tambwe Hiza, Makongoro, Akwilombe, Maghimbi et al. Wananchi wanajua fika kuwa watu hawa wamefuata masilahi binafsi huko CCM na hilo haliwaongezei wala kuwapunguzia matamanio yao ya kuing'oa CCM madarakani kwa kuwa imekuwa ikiwadanganya tokea uchaguzi wa vyama vingi 1995.
  2. Chama hakijengwi na mtu mmoja kwa kuwa jina lake ni Shitambala au hata Dr Slaa, bali ni chama as whole kuonyesha kuwa kipo kwa ajili ya wananchi usiku na mchana na kina watu wenye uwezo wa kufikiria bila woga na kuyatamka mabaya yote yanayosemwa na wananchi chinichini kwa kuhofia kushughulikiwa na vibaraka wa watawala.
  3. Kitendo cha CCM kumrubuni mtu yeyote wa upinzani na kumpatia nafasi ya ulaji wakati CCM kina wanachama walio-committed na wanasota ni kuzidi kuwafanya hawa CCM committed kujiona kuwa ni useless na hivyo kuanzisha minyukano ya hadharani na gizani miongoni mwao, rejea kauli ya Sumaye kuhusu kauli ya Tambwe Hiza.
  4. Kumshikisha mlungula Shitambala ili aiponde CHADEMA ni mchezo wa kitoto sana, only mwendawazimu atadhani kuwa mchezo huu utafanya CDM iporomoke kwenye uso wa wananchi. CCM wanatakiwa kutumia scientific approach kwenye kuiporomosha CDM siyo mbinu za kwenye vijiwe vya kahawa. Kama mimi ningekuwa mshauri wa CCM ningeagiza research ( I mean scientific research siyo kupokea taarifa za kishushu bila kufanyiwa empirical analyis) ifanyike nchi nzima ya kujua mambo yafuatayo 1. Ni kiasi gani wananchi wanaamini taarifa zinazotolewa na serikali au CCM kuwa kweli au si za kweli, 2. Ni kama jibu la (1) ni ndiyo kwa nini au kama siyo kwa nini, 3. Ni wananchi wa rika gani hasa wanakubaliana au kukataa CCM na kwa nini, 3. Kwa nini wanadhani CDM itawakomboa kiuchumi au haitawakomboa, 4. Watanzania wanajisikiaje kujitambulisha kama wana CCM , au wana CDM na kwa nini?, 5. Je wananchi wanaridhika na uongozi wa CCM na serikali yake, na kwa nini?. Nini kikifanyika watakuwa tayari kutoiunga mkono CDM, au CCM na kwa nini?. Je wanadhani CCM ilishinda uchaguzi wa 2010?, kama ndiyo kwa nini na kama siyo kwa nini, Je wanaiona CCM ipo kwa masilahi ya nani hasa? na kwa nini? PLUS MASWALI MENGINE MENGI TU, Baada ya hapo unakaa chini na kufanyia kazi all positive results on the side of CCM hata kama itabidi JK kujiuzulu na kumwachia makamu amalizie ngwe iliyobakia. Baada ya hapo hakikisha kuwa focus kuu ni kuhakikisha vijana wanapata ajira bora na kutomuonea huruma yeyote yule atakaye kwenda kinyume. In general let the Public see that CCM is not there for its members but for poor people.
  5. Chama hakijengwi na mtu bali na watu makini na kwenye hili CDM inaongoza na imepiga bao, sooner or later CCM would be a history if their trend of increasing its popularity is via seducing oposition leaders to defect and using false propaganda. If you are in power the only propaganda people can believe is for you to use an advantage of being party in power by initaing programs and policies which can lift people from poverty anything short of that is lack of thinking and waste of an opportunity. You can't use tricks and force to remain in power forever.
 
Jamani njaa si mchezo alitishia kuondoka wakati ule kuvuta usikivu wa chichi em sasa wamemsikia na wamempatia mkate wake wa kila cku.Cha msingi tumpuuze tusonge alikuwa kenge kwenye msafara wa mamba.
go cdm go.
 
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!

msafara wa mamba unaendelea.

kenge wanazidi kupukutika.

mpaka kieleweke.

haiingii akilini, karne hii ya 21 kuniambia ati watu wa Musoma, Shinyanga, Mwanza, Kigoma, Mbeya, na kwingineko ati ni kampuni ya mtu binafsi.
 
Hivi ni sawa kiongozi wa nchi unahutubia watu wako wakiwa wanahatarisha masiha yao juu ya mapaa ya nyumba?
"wazo ndani ya wazo" mkuu, lakini inaonyesha chama hiki kikongwe ndiyo aina ya wanachama kilichonao kwa sasa maana anayehutumbia ndiye TOP of TOPS ya CCM. Ngoja tusubiri
 
Rostam alimpa ngapi?

Mbona tunafahamu kuwa katika watoto wa Makamba, ni mmoja tu alikataa kusomeshwa na Wahindi?

Jamaa mwenyewe sasa hivi anasomea Uganga kama sikosei USA. Kasota kwa nguvu yake bila kubebwa na baba.

Hawa wengine wooote, ilikuwa ni Wahindi wanamlipia. Au unataka kusema Laki Saba utasomesha mtoto USA?

Msitufanye watu majuha hapa. Kazee hadi kameota Nundu kwa kupenda Pororo.
Hivi kuna kosa kujadili mshahara wa katibu wa chadema? mbona una panic? Makamba anapata laki saba
 
Kumbe kweli Mbeya walimdaka mapema huyu Pandikizi kuwa alipokea HONGO na kuachia Ubunge.

Sasa anakuja kusema kuwa CHADEMA ni chama hatari wakati ni YEYE alipokea HONGO?

Ngoja CHadema wafanye maandamano Mbeya na Wamchanechane masikini wa watu hadi atakimbia MJI.

Ingelikuwa ni HERI jana angelikuwa kwenye List ya Mabaunsa kule Tegeta ili aonje PEOPLE'S POWERRR......
 
Hata watumwa weusi wa kule marekani walipotangaziwa kwamba sasa wako huru na wanaweza kufanya kila jambo kama wazungu, kuna wachache walirudi kwa bwana zao kuwaambia kwamba wanajisikia huru zaidi kuendelea kuwa watumwa, na kwamba mungu hapendi mtu mweusi awe na haki sawa na mtu mweupe.

lakini pia JK kwenda kutoa hiyo kadi wakati huko Tegeta wananchi wamechinjana kwa sababu ya uzembe wa serikali na hajafika, nayo inatia kichefuchefu.

Sorry Jeykey, nimejisikia tu kujinukuu mwenyewe kama ambavyo unaweza kunukuu utafiti wako mwenyewe!!
 
Kweli kuna watu bado wanahama CDM kwenda CCM? Naona ni uwezo mdogo wa kufikiri tu..msameheni jamani...
 
Rostam alimpa ngapi?

Mbona tunafahamu kuwa katika watoto wa Makamba, ni mmoja tu alikataa kusomeshwa na Wahindi?

Jamaa mwenyewe sasa hivi anasomea Uganga kama sikosei USA. Kasota kwa nguvu yake bila kubebwa na baba.

Hawa wengine wooote, ilikuwa ni Wahindi wanamlipia. Au unataka kusema Laki Saba utasomesha mtoto USA?

Msitufanye watu majuha hapa. Kazee hadi kameota Nundu kwa kupenda Pororo.

Kwa hiyo kwa kuwa wahindi wanalipia watoto wa Makamba ni sawa tu na wachaga kumlipa Slaa 12M? nilidhani CDM ilipaswa kuwa ndio mbadala wa uovu wa CCM, kumbe wakimwaga mboga mnamwaga ugali.
 
Niliwahi kuwaambia CHADEMA mambo yafuatayo kuhusu huyu jamaa,
  1. Ni mwanajeshi ambaye alikuwa kanali tena ni komandoo, ila hajawahi kufukuzwa jeshini hata siku moja na hivyo kuwa kwake uraiani kulinipa mashaka.
  2. Ni mtu ambaye alikuwa Court Mashall , ila haijulikani nini kilimfanya akaenda huko uraiani kwani haiwezekani kirahisi tuu akawa uraiani.
  3. wakati wa uchaguzi mdogo mbeya baada ya kujaza fomu na kukosea niliwaambia kuwa huo ni ujanja , kwani hata siku za kurejesha fomu alilazimishwa kurejea kutoka DSM eti alikuwa anafuata kombati...
  4. Alipolaumiwa kuwa aliwauza wana Mbeya na Dr.Slaa alimtetea , nilimwandikia E-mail kuwa anapaswa kwanza kufanya utafiti wa kina juu ya malalami8ko ya wananchi kabla ya kuamua , ila kwa sababu alifanya utafiti nikaamini kuwa alipaswa kumrejesha.
  5. Aligombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA , na aliposhindwa alianza kulalamika kwa watu mbalimbali ile hal;i wakati huo hakuina aliyekuwa anamfahamu zaidi ya kushindwa kujaza fomu kwenye uchaguzi mdogo.
  6. Ameenda CCM kwani amejikuta akiwa hana kesi kwani wateja wake walimwambia kuwa hawawezi kumpatia tena kesi sasa tusubiri ili kuona nini kitaendelea siku zijazo.
My. take; kama Mwenyekiti wa Mkoa anaondoka bila kuwa na wanachama wa kumfuata hiyo ni dalili kuwa hakuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho ndani ya uongozi wake .

Hata kama angekuwa na watu waliomfuata si ccm wanaweza kupanga tu hivyo wanaccm wakajifanya wameondoka naye kutoka chadema.

Hapa chadema ilipofika sasa hivi ni kwamba mtu anapata sifa zaidi akitoka chama chochote kujiunga na Chadema kuliko akitoka chadema kujiunga na chama kingine hasa ccm. CCM imepoteza credibility mno kiasi kwamba siyo sifa tena kuonekana mitaani kwamba wewe ni mwana ccm. In fact mtu yoyote anayepita barabarani amevalia magwanda ya kijani anafanya hivyo tu pale ambapo hana namna na inabidi lazima wewe kwenye kundi. Unahitaji akili ya kiuendawazimu kujisikia sifa kuvaa magwanda ya kijani

So RIP Shitambala!
 
Tangu awali tulikuwa tunajua kuwa Shitambala ni pandikizi la CCM. Angekuwa na busara angejitoa kabisa kwenye siasa za majukwaani na angerudi CCM kimya kimya.
 
:tape:

Well, let him go...Chadema ina wanachama wenye mawazo na mitazamo mipya kibao....

Kila la kheri Shitambala....we will miss you but CDM will still be strong and take some steps ah
ead...

we'll be micing her, no i mean him bt we'll not goin 2remember her.
 
Huyu bwana namfananisha na mnyama afugwaye ambaye ndiye mchafu kuliko wote,akitapika anayala,akinya anakula tu.Sasa ndo alivyofanya huyu jamaa sijui MATAMBALA,by the way sisi kikwetu jina la huyu bwana tunasema 'BISHAATO'yaani useless clothes na ndo ame-proof u-useless wake kwenye chma cha watu wenye fikra na mawazo chanya anandoka mwenyewe make hiki chama si saizi yake hakuna takrima,hakuna sera ufsadishaji wala kulea ubwanyenye hapa.Kama alitgemea kuingia na kujaza litumbo lake hpa amechemka kwa kuwa yuko kifisadi zaidi acha aende huko chama Cha Mafisadi( CCM).AENDE ZAKE SUCH A HAWK MALE.
 
Wahindi na Rostam wanatumia HELA zetu walizoiba au KUTOKULIPA Kodi hapa Tanzania.

Wachaga wamelipa KODI, wakauza kahawa na ndizi na mauwa na UTALII na kupata hela za kumpa Slaa.

Wasukuma wameuza Ng'ombe na Pamba na ............ na kupata pesa ya kumlipa Slaa.

Naona MYOPIA inakusumbua.......................
Kwa hiyo kwa kuwa wahindi wanalipia watoto wa Makamba ni sawa tu na wachaga kumlipa Slaa 12M? nilidhani CDM ilipaswa kuwa ndio mbadala wa uovu wa CCM, kumbe wakimwaga mboga mnamwaga ugali.
 
Back
Top Bottom