Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

Sasa Tambala la kupigia deki nalo litusumbue?? Na aende salama!
 
28f70fb9f60d4292845689ce50ca0b01.jpg
 
Hata kilipoanzishwa chama cha TANU wlikiita chama cha wahuni na kukidharau, lakini ndicho kilicho tuletea uhuru
 
Nawashangaa sana wanachama wanaohama vyama afu wanatukana kule walikotoka..,sio ustaarab hata kidogo

Ndugu yangu IZA hiyo ndio inaitwa SIHASA. Nina uhakika hata Yusufu Makamba ikitokea kaihama CCM ataitukana ataitukana tu. Wanasiasa wengi wanakuwa kwenye chama fulani ili kufanikisha mambo yao binafsi, mambo yake yakifanikiwa ataendelea kubaki kwenye chama na kukipigania kwa nguvu zote, lakini mambo yake yasipofanikiwa utamwona na kumsikia akiitolewa matusi chama chake baada ya kukihama. Ipo mifano mingi tu , Tambwe Hiza, Masumbuko Lamwai, Makongoro Nyerere n.k
 
CHADEMA na wafuasi wake inabidi mkue na pia muwe wavumilivu kwa wenzenu, wakati Prof Safari anajiunga na chadema hatukusikia matusi wala kebehi kutoka alikotoka. Inabidi muwe wavumilivu kwa mnaotofautiana nao, ndo maana sishangai kwanini mnaitwa chama cha vurugu.
 
Ikithibitika ni vizuri. Vibaraka na makuwadi sio shirika na wazalendo wa Tz, achilia mbali CHADEMA.
 
Huyu jamaa namfahamu kuwa hafai tangu kutambo! Alinidhulumu pesa yangu akifanya kazi za kiwakili. Ni katika mchakato wa kusajili kampuni yangu ndipo akatokomea na nikajua hafai. Alipo ihujumu chadema ktk mchako ule wa ubunge nikaconfirm kabisa. Kwake pesa ni muhimu kuliko maslai ya taifa.
 
Tupa kule watu wa aina yake wote....aliondoka kaburu na wengine wengi tu ila chama ndo kikakua na kujipambanua zaidi kama chama cha ukweli na wapambanaji wa ukweli....bora kuwa wawili wenye msimamo kuliko kuwa kumi kumbe wengi mamluki.
 
Mpaka nione kwenye TV ndio nitaamini inamaana JK ametumia kodi zetu kwenda kupokea kadi ya Shitambala ,Kila la heri tunamtakie heri kwenye chama chake kipya aendeleze libeneke kwa muda mrefu alikuwa kimya na shughuli za chadema mkoani mbeya zimeendelea kama kawaida kwa hiyo haina shida
 
Mapambano tulioanza yameshafika mstari wa mbele milele hata milele. Kiwe cha kikabila cha kidini cha kihuni so longer kinaeneza yale ninayo ona ni ya msingi na mimi intellectual hakuna shida peoples power ukweli utajulikana ,mfa maji haachi kutapatapa uroho wa madaraka utawatokea puani watu kama hao na kama ajasoma alama za nyakati ameenda kujichimbia kaburi chadema=chama cha demokrasia na maendeleo ntaedelea na msimamo huu unless proven otherwise
mungu tubariki wapambanaji mpaka kieleweke wasaliti tutawajua tu.
SISIEMU Wamelamba garasa, ni kama wanajibu ya Prof Safari lakini hawajaweza hapo, wanatapatapa tuu, kama mfa maji haishi kutapatapa!!!!!!!!!!!!!
Hakuna wa kuwaamini tena labda magarasa wenzao kina Shitambala!!!!!!!!!!!
 
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!

CHADEMA TANGU KUANZISHWA KWAKE KINAJUA WAPO WENGI AKINA SHITAMBALA, AKINA FULANI, AKINA FULANI, LAKINI EXISTANCE YA CDM SI MTU, NI MITAZAMO NA SERA ZAKE ZA KUIKOMBOA TANZANIA ILIYOCHOSHWA NA MADHILA, UFISADI, NJAA, UBABAISHAJI NA WENDAWAZIMU WA KIFIKRA WA WATAWALA WA KIIMLA.
SHITAMBALA KUONDOKA AMETOA NAFASI BORA KWA MTU BORA ATAKAYECHUKUA NAFASI YAKE KULE MBEYA KWENYE KITOVU CHA USHINDI WA CDM, MWANZONI ALIJIFANYA ALIKOSEA KIAPO, WATU TUKAJIULIZA "MWANASHERIA AKOSEE KIAPO MHH", WENYE UPEO TULIJUA GHILBA, MARA KAANGUKA KWENYE KURA KUMBE KAVUTA MPUNGA, SASA HUYO ANAKWENDA ALIKOSTAHILI KUWAKO "PENZI NI KIKOZI BWANA HALIFICHIKI, HASA KWA MWENYE TAMAA" cdm INAMUONA NI KAMA NYOYA LA MWISHO KWENYE UBAWA WA KANGA MZURI AMBALO KUWEPO KWAKE AMA KUTOKUWEPO HALIKUWA NA MSAADA KWENYE URUKAJI WAKE. KWA HERI SHATAMBARA, ULALE PEMA CCM, UMEMETUTOKA NA YETU YATUNYOOKEE.
 
CHADEMA na wafuasi wake inabidi mkue na pia muwe wavumilivu kwa wenzenu, wakati Prof Safari anajiunga na chadema hatukusikia matusi wala kebehi kutoka alikotoka. Inabidi muwe wavumilivu kwa mnaotofautiana nao, ndo maana sishangai kwanini mnaitwa chama cha vurugu.
umesahau chama cha kidini,kikanda kama alivyokukaririsha JK
Hata jana CDM walikuwepo tegeta wakati wa mauaji au sio.

If CDM ni chama cha vurugu basi qualifications za kuingia University ziwe "mtu wa vurugu"
Ukitaka jenga chama lazima uwe na mafungamano na vijana na hasa wasomi na huu ndio mtaji mkubwa wa CDM
Nakushauri muanzishe mchakato wa kuwainfluence wanafunzi wa VETA wajiunge chama la mafisadi in case
 
hana tofauti na Zitto Kabwe in case kuna ukweli na alituhumiwa kuhongwa ili kuiangusha CDM wakati wa kampeni Mbeya.alipoteza uaminifu sana ingawa Dr. Slaa aliwasihi wana mbeya wamvumilie.

Sasa Zitto anaingiaje hapa?
 
Who is Shitambala!?, anayohaki kwenda atakako huo ni utashi wake, kama wengine walivyopenda kujiunga na Chadema, lakini kwa nini Rais Mzima unakwenda kumpokea Mwenyekiti wa mkoa wa chama kingine kuhamia kwenye chama chako, Pesa ngapi za TZ zimetumika katika tukio hilo!?, kwani si angepokelewa na katibu wa wilaya si ingetosha pia, hii ni kukiogopa Chadema, angekuwa wa TLP,CUF au NCCR sifikirii kama kungekuwa na ushabiki namna hii!!!.

Sasa Kama Dr wa Ukweli Slaa utapitia andiko hili, Kadi za Chadema zimekwisha Kigamboni, kunawanachama wapya wanataka kadi, niliwasiliana na Mwenyekiti Mkoa wa Kichama wa Temeke, akanieleza ameagiza makao makuu, Please Dr Fanya haraka wapo wengi wanarudisha Kadi za CCM kimya kimya na kuomba za Chadema, na wala hatutaki matangazo kama akina Shitambala, watajua baadae kwamba Chadema si mali ya mtu bali ni ya Wananchi wenye nia njema.

Nakutakia Safari njema Shitambala ukapumzike maana huko watu waliochoka kufikiri au hata wakifikiri hufikiri kwa ufinyu hukimbilia kupumzikia.
 
Ni vema amejitoa mapema ,anaweza kupewa nafasi ya kuwa mkuu wa propoganda mkoa wa mbeya kiusanii,ngoja tusubiri
 
Kila mtu ana uhuru wa kuchagua na nadhani ametumia haki yake kuzidi kumwonglea ndo mnamwongozea umaarufu let him live his life! Wana jf kuondoka kwa huyu ni kama mtego koana mtarespond vipi achaneni naye hairudishi nyuma nguvu ya umma ya kuongea ukweli panapohitajika.
Tuongelee mengine mmmmh nasikia loliondo sasa shwaaaaaaaaaaari nataka nitoke huku kilwa kesho
 
Back
Top Bottom