Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

Tupa kule watu wa aina yake wote....aliondoka kaburu na wengine wengi tu ila chama ndo kikakua na kujipambanua zaidi kama chama cha ukweli na wapambanaji wa ukweli....bora kuwa wawili wenye msimamo kuliko kuwa kumi kumbe wengi mamluki.
mdogo wangu wa form four ni kada mzuri wa CDM kuliko huyo Shitambala
 
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!

... changanya na hao wanaomsikiliza, mtu mzima ukiamini mambo ya kipumbavu basi wewe ni mpumbavu kuliko hata alokuketea upumbavu ule!!
 
...safari inaendelea, kutokea uwakili mpaka 'mpiganaji' na sasa kutokea upiganaji mpaka kwenye 'payroll list'! Watch out, what will be the next move
28f70fb9f60d4292845689ce50ca0b01.jpg
 
Kaijenga CHADEMA kivipi, CHADEMA ni kimbilio la watanzania waliotelekezwa na serikali,
sasa kaijenga vipi, au yeye ndio anayajua matatizo ya wanambeya zaidi yao wenyewe yanayowahusu.

CCM inafanya mambo kama Mabank ambayo badala ya kuboresha huduma zake kwa wateja
kila siku yanaibiana wafanyakazi.

Hata kama DR SLAA akirudi CCM, hiyo haitoweza kuwa dawa ya kuzimisha sauti za wananchi
kudai hake zao,sana sana watakapogundua kwamba viongozi wa kisiasa wanachelewesha haki zao
watafanya kama waarabu.
 
lakini hii inaweza kuwa uongo Shitambala wameshamchakachua!?
 
Kwani alikuwa hajafika huko ccm?mbona alianza safari kitambo?yale yale ya nakaaya a.ka. Mr politian wa arusha,nshawaeleza cdm si mahali pa kukimbilia,inahitaji uwe msafi kukaa kule! Cdm hawanyanganyi kadi,ikiwa nzito unaitupa mwenyewe na kutimka kubeba iliyo laiini ya kijani,ambayo ukienda kuinunua unalipa ada ya mwaka sh.200,hapo unaqualify kupata kadi pamoja na sh.5000. Kwa iyo unapata kadi na sh.4800 net. Alaf bado hazikimbiliwi kwa nini?!
 
Matambara is just like a piece of sand in the middle of a desert.

Sawa, nikukumbushe kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha. I support strong opponents kwa watawala kwa sababu hilo ni chachu kwa maendeleo lakini bila shari, wanasema Ccm hawasomi alama za nyakati halafu wao wenyewe wakasahau kuzisoma. We saw the lovely Chadema rising, hard to see them falling so soon!!
Its never too late though, you know we need change and you need change so change is our point of intersection but that begins with you. Switch to right politics before its too late...
 
wewe unapara miwa
 
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya anapokea kadi ya CCM sasa hivi na amemaliza kuongea kuwa Watanzania waiogope sana CHADEMA ni chama cha wahuni na wana uwezo mkubwa wa kufanya fujo na kuzomea! Amesema CHADEMA ni chama cha kikabila na kinaongozwa kwa mtindo wa Kampuni ya Mtu binafsi au kampuni ya kifamilia! Haja mtaja nani mmliki wa CHADEMA ila kasema CHADEMA ina mwneyewe ambaye hasa ndio mwenye kampuni na Dr slaa ni kibarua tu pamoja na wengine! Bado anaendelea kuongea!

"If you love something set it free, if it comees back it is your forever, if it does not come back it was not yours in the first place".
Well, Shitambala is definately not for CDM, He can go and rot in hell!!!!
 
Niliwahi kuwaambia CHADEMA mambo yafuatayo kuhusu huyu jamaa,
  1. Ni mwanajeshi ambaye alikuwa kanali tena ni komandoo, ila hajawahi kufukuzwa jeshini hata siku moja na hivyo kuwa kwake uraiani kulinipa mashaka.
  2. Ni mtu ambaye alikuwa Court Mashall , ila haijulikani nini kilimfanya akaenda huko uraiani kwani haiwezekani kirahisi tuu akawa uraiani.
  3. wakati wa uchaguzi mdogo mbeya baada ya kujaza fomu na kukosea niliwaambia kuwa huo ni ujanja , kwani hata siku za kurejesha fomu alilazimishwa kurejea kutoka DSM eti alikuwa anafuata kombati...
  4. Alipolaumiwa kuwa aliwauza wana Mbeya na Dr.Slaa alimtetea , nilimwandikia E-mail kuwa anapaswa kwanza kufanya utafiti wa kina juu ya malalami8ko ya wananchi kabla ya kuamua , ila kwa sababu alifanya utafiti nikaamini kuwa alipaswa kumrejesha.
  5. Aligombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA , na aliposhindwa alianza kulalamika kwa watu mbalimbali ile hal;i wakati huo hakuina aliyekuwa anamfahamu zaidi ya kushindwa kujaza fomu kwenye uchaguzi mdogo.
  6. Ameenda CCM kwani amejikuta akiwa hana kesi kwani wateja wake walimwambia kuwa hawawezi kumpatia tena kesi sasa tusubiri ili kuona nini kitaendelea siku zijazo.
My. take; kama Mwenyekiti wa Mkoa anaondoka bila kuwa na wanachama wa kumfuata hiyo ni dalili kuwa hakuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho ndani ya uongozi wake .
 
Jamani Demokrasia katika Mazingira ya Njaa na Umasikini ni ngumu! Mbona nchi tajiri hatusikii Republican kahamia Democrat au Labour kahamia Conservative!!! watu wananuliwa kama pipi au njugu!
 
Ni vema amejitoa mapema ,anaweza kupewa nafasi ya kuwa mkuu wa propoganda mkoa wa mbeya kiusanii,ngoja tusubiri
Aliwahi kugombea uenyekiti wa Chadema inaelekea siku moja angeacha wanachama wake kwenye mataa,let us wish him all the best in his new position,atapewa ubunge manake ni nafasi tatu tuu JK kazitumia nitacheka atakapo kuwa anagonga ma meza kuwakejeli wabunge wa chadema kweli dunia tambala bovu
 
kuhamia chama kingine sio kosa kabisa lakini huyu jamaa ana tuhuma a kuuza jimbo mara mbili kwa hiyo hatushangai kumuona ccm........hana effect aondoke zake
 
Dr.Slaa alimtetea , nilimwandikia E-mail kuwa anapaswa kwanza kufanya utafiti wa kina juu ya malalami8ko ya wananchi kabla ya kuamua.

Hapo kwenye red, nadhani ulikuwa unamkumbusha maneno yake mwenyewe akizidiwa hoja
 
Hahaha Chitambala unadhani sisi wajinga! umepotea huwezi kutugeuza alidhani watu wanaunga mkono chadema sababu yake kumbe ni sera basi wala sio watu bwana,wewe nenda na kila laheri labda utakuwa kama akina Hiza,wazee wa propaganda mambo ya ze comed.
 
Niliwahi kuwaambia CHADEMA mambo yafuatayo kuhusu huyu jamaa,
  1. Ni mwanajeshi ambaye alikuwa kanali tena ni komandoo, ila hajawahi kufukuzwa jeshini hata siku moja na hivyo kuwa kwake uraiani kulinipa mashaka.
  2. Ni mtu ambaye alikuwa Court Mashall , ila haijulikani nini kilimfanya akaenda huko uraiani kwani haiwezekani kirahisi tuu akawa uraiani.
  3. wakati wa uchaguzi mdogo mbeya baada ya kujaza fomu na kukosea niliwaambia kuwa huo ni ujanja , kwani hata siku za kurejesha fomu alilazimishwa kurejea kutoka DSM eti alikuwa anafuata kombati...
  4. Alipolaumiwa kuwa aliwauza wana Mbeya na Dr.Slaa alimtetea , nilimwandikia E-mail kuwa anapaswa kwanza kufanya utafiti wa kina juu ya malalami8ko ya wananchi kabla ya kuamua , ila kwa sababu alifanya utafiti nikaamini kuwa alipaswa kumrejesha.
  5. Aligombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA , na aliposhindwa alianza kulalamika kwa watu mbalimbali ile hal;i wakati huo hakuina aliyekuwa anamfahamu zaidi ya kushindwa kujaza fomu kwenye uchaguzi mdogo.
  6. Ameenda CCM kwani amejikuta akiwa hana kesi kwani wateja wake walimwambia kuwa hawawezi kumpatia tena kesi sasa tusubiri ili kuona nini kitaendelea siku zijazo.
My. take; kama Mwenyekiti wa Mkoa anaondoka bila kuwa na wanachama wa kumfuata hiyo ni dalili kuwa hakuwa na ushawishi mkubwa kiasi hicho ndani ya uongozi wake .

farewell Shitambala, nafikiri sasa nimeelewa kwanini cdm haikushinda mbeya vijijini.:hug:
 
ndio haswaaaaaaaaa
hatuwezi shangaa zitto akihamia CCM

Si haki kumhusisha Zitto na hili......tumjadili huyu Shitambala kivyake.......kama Zitto nae akihamia CCM basi tutamjadili atakapofanya hivyo.....kwa sasa si haki kufanya hivyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom