Shishi: Nina miaka sijaduu

Shishi: Nina miaka sijaduu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,093
Reaction score
34,909
attachment.php

Na Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mwasiti Mohamed ‘Shishi' ameweka plain kuwa hajakutana na mwanaume kwa takribani miaka mingi iliyopita.

<center style="margin: 0px; padding: 0px; border: 0px; outline: 0px; vertical-align: baseline; background-color: transparent;"></center>
attachment.php

Mwasiti Mohamed &#8216;Shishi'.
​
Akipiga stori na paparazi wetu, Shishi alisema tangu agombane na mpenzi wake ambaye hakumtaja miaka mingi iliyopita, hadi leo hamjui mwanaume.
"Haah! Aisee ni miaka mingi kwa kweli sijaduu, kila nikikumbuka yule mwanaume alivyonizingua, sikutamani tena tendo la ndoa," alisema Shishi.

HUYU BIBIE ATAKUWA SIO MZIMA KIAKILI KAMA HAJA DUU miaka mingi !!!!!! KAMA NI ULAYA HAFAI KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI.
 
Attachments

  • shishi.jpg
    shishi.jpg
    55.8 KB · Views: 1,583
  • FUNGA2.jpg
    FUNGA2.jpg
    33.5 KB · Views: 1,670
Sasa hizo picha zake ndio anataka kuvutia midume ya kuduu naye? Sabau za kusitisha kuduu kwa muda huo ni zipi? huo utafiti wake unaonesha nini au madhara au faida gani za kuduu mara kwa mara na kutokuduu kwa muda mrefu?
 
Uongo mwingine hauna hata mashiko...BTW huyo shishi ndo nani?
 
yote sawa tu udu usiduu hamna neno ni maamuzi, mi nimeachwa na maswali mengi tu kwenye hiyo picha ya kwanza ya hilo vazi na kinywaji anachomimina!! vinachangamana kweli??
 
attachment.php

HUYU BIBIE ATAKUWA SIO MZIMA KIAKILI KAMA HAJA DUU miaka mingi !!!!!! KAMA NI ULAYA HAFAI KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI.
sintokosea nikisema hii ni Konyagi? then na vazi lenyeweee!!! Dah I stand to be corrected.
 
Aache usanii wiki iliyopita aliamkia Uhuru Park na bwana mmoja,dereva . WIKI hii nawahakikishieni nampiga picha akiingia gesti. ANAJITANGAZA KAHABA MKUBWA HUYO
 
Ha ha ha.. Kama ni kweli sio mbaya.. Ila kama ni uongo atakuwa na matatizo.. Tumemkosea nini sie mpaka aje kutudanganya bila ya sababu..?
 
Uongo mwingine hauna hata mashiko...BTW huyo shishi ndo nani?

Inawezekana sana hasa unayempenda kwa dhoti na kumwamini anapokusaliti kwa namna ambayo ukutegemea. Hamu inapotea kabisa. Ukipenda rafiki unafanya mengi sio suala la kuDuu tu. ule muda wa kutafakari kilichotokea ndio unashtukia imepita miaka 6.
 
Hell no,6years unatafakali nini hicho?au ulimaanisha 6months
 
Back
Top Bottom