Shisha...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
nimelimiss ghafla.
mara ya mwisho nilipigia pale coco beach
je hapa dar ni sehemu gani naweza pata hii makitu - SHISHA ya ukweli?
 
nimelimiss ghafla.
mara ya mwisho nilipigia pale coco beach
je hapa dar ni sehemu gani naweza pata hii makitu - SHISHA ya ukweli?

Njoo mitaa ya kwetu hapa Kino-Morocco wanalipuliza ile mbaya.
Hapa kwa wachina.
 
Kumbe na huko lipo?
Mi hua nikikutana nalo la taste ya pineaple la vanila's taste siliachi !
 
Hii kitu iko maeneo mengi tu slipway,hilton double tree,city garden ( zamani railway club), mikocheni kwa nyerere panaitwa saverio etc etc.
Labda niulize swali hivi shisha inalewesha? Ina addiction?
 
Hii kitu iko maeneo mengi tu slipway,hilton double tree,city garden ( zamani railway club), mikocheni kwa nyerere panaitwa saverio etc etc.
Labda niulize swali hivi shisha inalewesha? Ina addiction?

Bishanga
unafahamu vituo vyote ivo afu hujui kama inalewesha au la?

mimi naona ile ni kama kutfuna BANZOKA tu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom