Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Bangi mbaya sana.
Sasa ndege ipi itapotea wakati tuliyokuwa nayo ipo mwanza airport mwaka wa tano ama zaidi sasa. Imelala haina tairi la mbele itaruka vipi sasa hadi ipotee? Kama hujui uliza?
Ebola ipo west africa, ndege ya kwenda mwanza hatuna tutatoa api ya kwenda west africa hadi ebola iwe janga? Ujinga mwingine bana