Shirika la Ndege la KLM laanza tena safari zake Nchini

Hawawezi kuja hapa wale wazee wa 'korona'.
Hawasemi kuna ndege zimeongeza idadi ya safari (route) kuja Tanzania kutoka mara moja kwa juma(week) hadi mara mbili.

Wako wapi wale wazee wa kurusha na kushangilia mambo mabaya tu?
 
Duuhh!
Yaani kandege kamoja tu kametua na kameleta dawa ya Korona with "K"
Tuutikie Ameeeen
 
Kuna jirani yetu hii habari itakuwa inazidi kumchanganya...
 
Point of correction. ...sio boeng 777 ni boeng 787-10 na hii ni ya kanza kwenye daraja hili kwa KLM. Yani hata mwaka haina. Hii ndege kuja huku ni statement kubwa sana kutoka KLM! !
 
It was just a matter of time, alhamdulilah! Cvez







Let's meet at the top, cheers πŸ₯‚
 
Wakiwa ndani ya ndege, wakishuka na kwenda hotelini wanavaa barakoa, wakianza kufuatilia story za ndani huku wakiangalia madereva wao wanaona NO barakoa.

Kesho yake mtaani tunawaona hawajavaa 😊 kuna jambo linashangaza sana kuhusu covid-19 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…