Shirika la Ndege la KLM laanza tena safari zake Nchini

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
679
1,337
Ndege ya shirika la ndege la Uholanzi (Royal Dutch Airlines, KLM) Boeing 777 ikishusha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) muda mchache baada ya kutua uwanjani hapo leo Agosti 4, 2020

FB_IMG_1596570976489.jpeg
View attachment 1527339
FB_IMG_1596570958837.jpeg
 
Hawawezi kuja hapa wale wazee wa 'korona'.
Hawasemi kuna ndege zimeongeza idadi ya safari (route) kuja Tanzania kutoka mara moja kwa juma(week) hadi mara mbili.

Wako wapi wale wazee wa kurusha na kushangilia mambo mabaya tu?
 
Kuna jirani yetu hii habari itakuwa inazidi kumchanganya...
 
Point of correction. ...sio boeng 777 ni boeng 787-10 na hii ni ya kanza kwenye daraja hili kwa KLM. Yani hata mwaka haina. Hii ndege kuja huku ni statement kubwa sana kutoka KLM! !
 
Wakiwa ndani ya ndege, wakishuka na kwenda hotelini wanavaa barakoa, wakianza kufuatilia story za ndani huku wakiangalia madereva wao wanaona NO barakoa.

Kesho yake mtaani tunawaona hawajavaa 😊 kuna jambo linashangaza sana kuhusu covid-19 .
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom