Shirika la Maji Tanzania

Shirika la Maji Tanzania

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,339
Reaction score
1,493
Habari Tanzania

Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo.

Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo wa Grid ya Maji ya Taifa na kuiunganisha nchi nzima. Alafu Mamlaka za Maji Vijijini na Mijini ziwe ni Idara ndani ya Shirika hilo. Hii maana yake tuwe na Mfumo mmoja wa maji nchi nzima na tuvune aina zote za maji na tuhakikishe maji hayapotei kivyovyote vile kuanzia Maji ya Mvua, Mito, Maziwa na Mifereji yote hapa nchini.

Karibuni.
 
Back
Top Bottom