Shiranga la Mashoga wa Baa ya Stonewall!

Shiranga la Mashoga wa Baa ya Stonewall!

kaka MTAMBUZI...siku zote nakwambia "yako ndefu lakini imenyooka"...HAYA TUAMBIE STONEWALL YA DASLAMU IKO WAPI?...lmao!
tatizo bongo bado inasua sua hawana maeneo maalumu
ila sehemu zote wanazokuwepo watu classic uwakosi hawa
 
tatizo bongo bado inasua sua hawana maeneo maalumu
ila sehemu zote wanazokuwepo watu classic uwakosi hawa

UHURU PICK ya kinondoni wapo makabila yoooote...hata ukitaka wa kiarabu ha ha haaa!
 
NImezungumzia kwa huku kwetu Tanzania, jambo hilo la ushoga lilikuwa ni jambo la kufikirika..........................

Labda hukuwepo au ulikuwa u mdogo sana kiasi cha kutokuelewa mambo.

Mwaka 1969 mashoga walikuwepo tena wengi tu.

Hata kabla ya hapo walikuwepo, soma kisa cha father Kit Cunningham wa Soni uone ilikuwa ni mwaka gani akiharibu watoto wadogo na vijana kwa ushoga huko shule ya seminari ya kanisa iliyopo Soni, Lushoto, Tanzania.
 
Back
Top Bottom