Watu wenye hasira na imani kali kama hawa tunatakiwa tuwatumie kuing'oa CCM madarakani.
Unafumba macho!Ila pamoja na yote bado kujimwagia mafuta inahitaji moyo
Nadhani wanafurahia kwamba wamefanikiwa kuwatenganisha sababu hawatashuhudia wakirudiana tena.Wanafurahia msiba wa kufiwa?
Umeona eeeNipo dear,tangu majuzi naingia jf sioni uzi wa kunichangamsha😀
Teh...hawapoooUmeona eee
Sijui wakujilipua wako wapi.
Hebi tafuta basi afu uni mention.
Nina hamu na kichambo mchana huu.
Basss sawaaa udugu wangu...Teh...hawapooo
Sio wakwe wamevunja ndoa yake bali ni wazazi wake.Huyu jamaa kakosea Sana, angeenda kujilipua yeye na wakwe zake
Wazazi wa mke pia wameuawa?Taarifa nilioipata ni kwamba; baba + mama +mtoto=wameuawa wote kwenye tukio hilo.
Matamko tumezaliwa tunayasikia, tumekuwa tunayasikia na sasa tunazeeka tunaendelea kuyasikiaAidha Kamanda ametoa wito kwa wazazi, kuacha kuingilia ndoa za watoto wao, pamoja na wanandoa kuacha kujichukulia sheria Mkononi, na pale penye migogoro bali watafute ufumbuzi kwa kufuata sheria
Hahahaaaaa hata nchi inaweza kumilikiwa Mkuu wengine msikohoeShida ya usukumani mtu Ana miaka 30 Bado anamilikiwa na wazazi elimikeni ndugu zangu