ordyguy0
Senior Member
- Feb 22, 2020
- 105
- 275
eti mapolisi
eti mapolisi
hanaga zuri huyu zombokoAs usual.
Bringer of bad news.
Hujambo lakini
This is sad, jamaa angewafikiria watoto kabla ya kufanya maamuzi kama hayoWenslausi James (30) na Betha Kasimili (25), ambao ni wakazi wa kijiji cha Busongo kata ya Mwamashele wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya mwanaume huyo kujilipua kwa moto kwa kutumia mafuta ya Petroli, kwa madai ya wazazi wa mwanaume kumkataa mwanamke.
Kwa Mujibu wa Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, Kamishina msaidizi wa Polisi, Jackson Mwakagonda, tukio hilo limetokea June 14 mwaka huu majira ya saa 4 asubuhi.
Mwakagonda amesema wanandoa hao walikuwa wamezaa watoto watatu, lakini wazazi wa mwanaume walimkataa mke wake, na kuamua kuuvunja mji pamoja na kurudisha mahari nyumbani kwao na mwanamke.
Aidha, amesema baada ya mji huo kuvunjika, ndipo mwanaume akasikia kuwa mke wake anataka kuolewa, na kuamua kwenda nyumbani kwa kina mwanamke akiwa na dumu la mafuta ya Petroli lita tano, na kisha kuingia chumbani kwa mwanamke na kufunga mlango na kisha kuanza kugombana.
“Mwanaume huyu alimchoma kisu cha ubavuni mke wake, na kisha kumfunga minyororo na kumwagia mafuta ya Petroli, kisha na yeye kujimwagia Petroli akawasha kiberiti na kujilipua moto, ambapo waliteketea pamoja na nyumba,” amesema Mwakagonda.
Aidha Kamanda ametoa wito kwa wazazi, kuacha kuingilia ndoa za watoto wao, pamoja na wanandoa kuacha kujichukulia sheria Mkononi, na pale penye migogoro bali watafute ufumbuzi kwa kufuata sheria.
Chanzo: Dar24
Feeling zinazo uma ni umejitoa kwa mtu for years umetumia kila jasho na senti kwa ajili ya huyo mtu....Wenslausi James (30) na Betha Kasimili (25), ambao ni wakazi wa kijiji cha Busongo kata ya Mwamashele wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya mwanaume huyo kujilipua kwa moto kwa kutumia mafuta ya Petroli, kwa madai ya wazazi wa mwanaume kumkataa mwanamke.
Kwa Mujibu wa Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, Kamishina msaidizi wa Polisi, Jackson Mwakagonda, tukio hilo limetokea June 14 mwaka huu majira ya saa 4 asubuhi.
Mwakagonda amesema wanandoa hao walikuwa wamezaa watoto watatu, lakini wazazi wa mwanaume walimkataa mke wake, na kuamua kuuvunja mji pamoja na kurudisha mahari nyumbani kwao na mwanamke.
Aidha, amesema baada ya mji huo kuvunjika, ndipo mwanaume akasikia kuwa mke wake anataka kuolewa, na kuamua kwenda nyumbani kwa kina mwanamke akiwa na dumu la mafuta ya Petroli lita tano, na kisha kuingia chumbani kwa mwanamke na kufunga mlango na kisha kuanza kugombana.
“Mwanaume huyu alimchoma kisu cha ubavuni mke wake, na kisha kumfunga minyororo na kumwagia mafuta ya Petroli, kisha na yeye kujimwagia Petroli akawasha kiberiti na kujilipua moto, ambapo waliteketea pamoja na nyumba,” amesema Mwakagonda.
Aidha Kamanda ametoa wito kwa wazazi, kuacha kuingilia ndoa za watoto wao, pamoja na wanandoa kuacha kujichukulia sheria Mkononi, na pale penye migogoro bali watafute ufumbuzi kwa kufuata sheria.
Chanzo: Dar24
Duuh...Ndio mkuu, taarifa niliyoipata kwa mtu aliekua katika tukio.
Hujawahi kupewa kipapa kusawasawa wewe. Kuna wanawake wanakupa kipapa Hadi unachizika, Sasa ukifikiria Raha zile apewe mtu mwingine unachanganyikiwa. Mstaafu Fulani kutoka UK Ni shahidi na mfano mzuri.Hivi unaweza kuuana kwasababu ya wivu wa maoenzi jamani!?? Mbona watu bado ni washamba kiasi hiki!?? Kwann MTU akikushinda mbona wapo wengi tuuu!??!yan mjitu mingine sijui INA laana gani!??
Jamaa hajui eeh ukikolea kwa mmoja hata ugonge mademu 1000 maumivu hayaishiHujawahi kupewa kipapa kusawasawa wewe. Kuna wanawake wanakupa kipapa Hadi unachizika, Sasa ukifikiria Raha zile apewe mtu mwingine unachanganyikiwa. Mstaafu Fulani kutoka UK Ni shahidi na mfano mzuri.
Watoto watatu jamaa alikuwa bado hajaridhika tu kuuachia mzigo na wengine wahangaike nao.
Taarifa nilioipata ni kwamba; mume + mke +mtoto=wameuawa kwa pamoja kwenye tukio hilo.
Ila wanaume wa siku hizi mmmh....inabidi kuwa makini sana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ogopa k mnato. Hata Kama tako halipo Kama k Ni imara mtaendelea kujiuliza hivi yule kampendea mwanamke Fulani kitu gani?Ni baadhi tu si uliona yule katombewa humu lakini hakujilipua yeye na mkewe na walilala kitanda kimoja siku katoka kupata mshedede.