Shinyanga: Mume aua mkewe na kisha kujilipua ndani ya nyumba kwa Petroli baada ya Wazazi wake kuvunja Ndoa yao

Watu wenye hasira na imani kali kama hawa tunatakiwa tuwatumie kuing'oa CCM madarakani.

Hapo ndipo unapokosea. Inatakuwa kuuvaa ujasiri huu na si kuwatumia wengine.

Ndiyo maana maandamano yanaitishwa wengine wanasubiri wengine waende.

Wengine wapi sasa?
 
It's like blaming a gun for killing people....

Watu tupende kuwa responsible, ukifanya jambo ni wewe uliyefanya hizo excuses ni kujifariji tu....
 
Mwanamke miaka 25,,watoto watatu ndani ya ndoa,,,hata hivyo msichana aliolewa akiwa mtoto
 
Serikali rasmisheni gongo lile eneo gongo ndopombe ya kienyeji inapikwa waziwazi kama comoni yetu kule iringa au mnaziwetu ligunga tunduri au bunju .
 
Jambo jema ni kwamba watoto wapo salama. Ila tukio la kikatili la wazazi wao bado litabaki mioyoni mwao
 
Huyu jamaa kakosea Sana, angeenda kujilipua yeye na wakwe zake
Sio wakwe wamevunja ndoa yake bali ni wazazi wake.
Mimi naona angejilipua na wazazi wake sema dakika chache kabla marehemu hajafa niliongea nae kumshauri ajilipue na wazazi wake akawa hataki kwa kisingizio atamwachaje huyo mwanamke akaliwe na mwanaume mwingine?
 
Aidha Kamanda ametoa wito kwa wazazi, kuacha kuingilia ndoa za watoto wao, pamoja na wanandoa kuacha kujichukulia sheria Mkononi, na pale penye migogoro bali watafute ufumbuzi kwa kufuata sheria
Matamko tumezaliwa tunayasikia, tumekuwa tunayasikia na sasa tunazeeka tunaendelea kuyasikia
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom