shindano la nani zaidi cc kapo

shindano la nani zaidi cc kapo

Nimeshindwa kuvumilia,mimi na loya ni kila kitu,sijaona kama sisi,tumekua mfano wa kuigwa,huyo bishanga kwanza anamcheat sana mke wake,sie tamaa haina nafasi,ndoa bab kubwa bana
 
Nimeshindwa kuvumilia,mimi na loya ni kila kitu,sijaona kama sisi,tumekua mfano wa kuigwa,huyo bishanga kwanza anamcheat sana mke wake,sie tamaa haina nafasi,ndoa bab kubwa bana

Passion Lady pliz mnawashwa ? ( source lusinde) mbona mnaanza kupiga kura kabla hatujapata mtu wa kuratibu upigaji kura?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52, Paloma, Mungi Arushaone na m polygamous Madame B hivi mnaona raha gani kunchakachulia uzi wangu,nitawanyofoa kucha shauri zenu. Nnachotaka hapa ni tufanye appointment ya mratibu tukishampata ndo shindano lianze.
Btw hata kapo za jinsia moja zitaruhusiwa kushiriki shindano,dunia huria hii bana.

Unan'taka?
Nauliza Un4n1+4k4?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom