haina mpinzani mwenye neno na aseme sasa.
Mimi nina pingamizi.
Mimi nina pingamizi.
We nawe una mana gani hapo....!!! sijaelewa?????Km network inasumbua nakula zangu kona...nani anataka shida sasa
Aha! Young Master ulikuwa umepotelea wapi ndugu au ulikuwepo kwa mwonekano mwingine
hapa mimi na akanana wangu Passion Lady lazima tushinde
We nawe una mana gani hapo....!!! sijaelewa?????
hapa mimi na akanana wangu Passion Lady lazima tushinde
usijali lov! ngoja atanitambue
Ha ha ha ha ha ha ha..............Shtuka sana...