SawaaUtapata wikendi ijayo.
limefanyajeWe na hilo li-avatar lako hilo!
huyo ni mimiNi li-emoji tayari.
unataka umtunuku mleta uziNipo hapa. Lakini sitaki pesa yako, kama hutojali, nitumie namba yako nikuongeze elfu kumi kwa kuleta uzi wa tofauti sana.