Shindano: Kama hujawahi kukomenti kwa emoji, jishindie 10,000/-.

Salamu wakuu!

Sio kila siku maisha magumu. Leo nipo hapa kurahisisha maisha ya watu, japo kwa kiasi kidogo cha vocha au bucket ya bia.

Jitokeze, jishindie, furahia wikendi.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Ncha Kali.

Mimi hapa. Nazichukia kama nini hizo imoji zenu
 
Salamu wakuu!

Sio kila siku maisha magumu. Leo nipo hapa kurahisisha maisha ya watu, japo kwa kiasi kidogo cha vocha au bucket ya bia.

Jitokeze, jishindie, furahia wikendi.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Ncha Kali.
Hapo ulipo ikitajwa elfu 10 unaitika
 
Back
Top Bottom