Shime shime tuongeze madaraja ya elimu zetu

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
Ilikuwa imezoeleka kuona matangazo ya kazi magazetini yakihitaji mtu mwenye bachelor akihitajika,na mara chache sana nimeona mtu mwenye diploma akihitajika


Ili kilichonichanganya leo,ni pale nilipoona tangazo likiwa katika hali ya BLACK AND WHITE,kwenye Nguzo ya umeme,ikihitaji mtu mwenye bachelor kama kigezo cha kupata kazi


Nilishtuka sana,kumbe bachelor sasa imeanza poteza umaarufu!
 
Back
Top Bottom