Shilole: Nilimpiga makofi na nikitoka alinibebea pochi

Hahaaa kuna hii nyimbo mpya ya shilole sijui inaitwaje vile, ila video yake inapigwa sana EATV.

Anampiga majungu kwa mbaali kijana wake wa zamani kua alimzaba makofi na akitoka alikua anabeba pochi.

Duuhhh!!
Duh ndio maana kaachika nuhu alikuwa anaonewa sana dah
Mwanamke akikuzidi kipato tabu kweli
 
Kati ya watu nnaowaonaga wanaimba makolokocho ni shilole na linah
Hapo umemuonea Lina....wimbo "kama "bora nikimbie" au "Ole themba" au ule alioimba na Barnaba wa "wrong number" kweli unalinganisha na nyimbo za Shishi?

.....muombe radhi bana.....
 
Hapo umemuonea Lina....wimbo "kama "bora nikimbie" au "Ole themba" au ule alioimba na Barnaba wa "wrong number" kweli unalinganisha na nyimbo za Shishi?

.....muombe radhi bana.....
Hapana asee walewale
Yani nikionaga linah na shilole eti wanaenda mbele kupiga show huwa najiuliza ni show gani hizo make mie hata wakitumbuiza hapa dirishani kwangu sitawaangalia
 
Hapana asee walewale
Yani nikionaga linah na shilole eti wanaenda mbele kupiga show huwa najiuliza ni show gani hizo make mie hata wakitumbuiza hapa dirishani kwangu sitawaangalia
Labda tu damu haziendani...Linah anajua aise, huwa sichoki kusiliza "bora nikimbie".............ila huyo Shishi masikini wa Mungu, mi huwa hata napata huruma kwamba apate tu riziki yake mkono uende kinywani.
 
Wala sio damu kuendana yule binti hajui kuimba anaimba makolokocho tu na remix nyimbo za watu
 
mimi sio shabiki wa linah, ila lina ana afadhali sana, usimfananishe na shilole
Hata linah aaah mkuuu yuko vizuri kwanza ana akili timamu si unaona wala hajahangaik@ kuukimbia weusi ukiona mtu anakwangua ngozi ili awe mpe msaada wa kumfikisha milembe
 
mkuu mimi naona pale alikua na lengo la kumdhalilisha kijana wa watu, maana hata kama watu walisema hivyo, kwenda kuimba kwenye nyimbo unataka yaendelee kuongelewa, naona kama anatumia sarcasm flani hivi (kutumia maneno kama unamfagilia mtu ila kumbe actually unamdhalilisha)
Lakini kama alimnyuka kelebu hamna namna maana nuh alizoe kitonga yamesemwa mengi lakini kama nuh kapiga kimya kachagua njia sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom